*Hawa WANAWAKE na hivi vipodozi vyao vya kujichubua usoni tu ..*
*Dada mmoja Leo kapanda kwenye daladala kujichubua usoni kawa mweupee alafu mikono mieusi tii.*
*Basi kuna muda aliingiza mkono mfukoni atoe simu yake..* *watu wakapiga kelele we Dada unaibiwa simu yako mfukoni..* *kumbe ni ule mkono wake mwenyewe haufanani na sura.* [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji115][emoji120]