Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Miezi mitatu niliiona kama mwaka ilikuwa ni majanga tena si ya nchi hii
1-Kipindi mafunzo yanaanza ilikuwa tizi la kukimbia umbali mrefu sana,nilikimbia nikachoka sana pumzi ilinizidia nikazima.
Nilivyozinduka nilikula adhabu ya kichurachura na virungu juu.
2-Nilipata rafiki zangu wa Chuga hao ni wakorofi balaa,walipanga kampango tutoroke tukakubaliana.
Mida ya usiku mkali tukaamua kufanya escape from sobibor,hatukufanikiwa tulikamatwa kilichotukuta ni siri yangu.
3-One day tuliingia msituni kwenye mazoezo ya shooting,nikaamua kulala kifudifudi huku naweka target mara mbele yangu yupo mjomba Cobra.Alinipa utamu wa mate yake ya sumu,sikuona chochote wiki nzima nilipatwa na upofu.
4-Siku moja likapigwa Disko la kijeda sasa kuna mjeda mmoja hv akatia aibu.
Alikuwa amebambia mtoto mkali ile mziki kuzimwa jamaa suruali imeloa,tulimcheka sana๐๐๐๐๐hadi alitamani kulia.
Bahati mbaya mimi nna kicheko cha maudhi halafu jamaa alinikariri,alinifanyia visa balaa hadi kunifulisha magwanda ya wakulu daaah.
ILA JESHINI KUZURI SANA ASIKUNANGANYE MTU.