Majanga yanawaandama majirani. Sasa ni Nairobi fly.

Majanga yanawaandama majirani. Sasa ni Nairobi fly.

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
32,246
Reaction score
31,176
Jamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Karbanet, Baringo.

Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a corrosive substance known as pederin. They are species of the rove beetle genus Paederus, and are black and red in colour, and about 6–10 mm long. They live in rotting leaves where they lay their eggs. - Wikipedia.
 
Jamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Carbanet, Baringo.

Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a corrosive substance known as pederin. They are species of the rove beetle genus Paederus, and are black and red in colour, and about 6–10 mm long. They live in rotting leaves where they lay their eggs.

- Wikipedia.

Wanaitwa Narrow-bee fly, japo tumeshazoea kulitamka ndivyosivyo.
 
Jamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Karbanet, Baringo.

Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a corrosive substance known as pederin. They are species of the rove beetle genus Paederus, and are black and red in colour, and about 6–10 mm long. They live in rotting leaves where they lay their eggs.

- Wikipedia.

Dah! hatari sana hawa majidudu
 
Hehehe!! Hivyo ni mwendo wa kusaka kila janga lililo kwa jirani na kulianika....haya hii hapa yenu, tetemeko la ardhi licha ya Corona kuwatesa.

2378927_18654EC7-777B-49C0-A72D-3FBA77E033D6.jpeg
 
Jamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Karbanet, Baringo.

Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a corrosive substance known as pederin. They are species of the rove beetle genus Paederus, and are black and red in colour, and about 6–10 mm long. They live in rotting leaves where they lay their eggs.

- Wikipedia.

Ila hawa jina lao halisi sio Nairobi fly, ni NARROW BEE FLY.

Sasa sisi waswahili wa Kenya na Tz tukatwanga Nairobi fly. Sio mbaya kwani majina huzaliwa na wadudu wamepatia sehemu ya kwenda kwa wenye jina la mji wao
 
Rekebisheni huko Wikipedia. Manaake wanasema pia wanaitwa Kenya Fly.
Ni Mkenya kaandika hiyo article huko Wikipedia, eti Kenya fly

Wakenya wanapenda kujitafutia lame publicity, hapo wenyewe viroho kwatuu, kisa wazungu wataita Nairobi fly japo narrow bee mwenyewe ni janga ila Mkenya hajali kitu as long as mzungu atahusika kutamka Nairobi au Kenya, mtihani 😤
 
Ila hawa jina lao halisi sio Nairobi fly, ni NARROW BEE FLY.

Sasa sisi waswahili wa Kenya na Tz tukatwanga Nairobi fly. Sio mbaya kwani majina huzaliwa na wadudu wamepatia sehemu ya kwenda kwa wenye jina la mji wao
The name is actually Nairobi fly. Narrow-bee fly was an internet hoax that went too far.
 
Narrow--bee fly

Kufurahia majanga ya Wana East Africa wenzetu hii jumuia itakaa isimame KWELI.

Nyiee CCM msiependa kuambiwa ukweli mmeanza vijembe na Kenya kwasababu mungu wenu kaitwa mkaidi. Msiogope mfungo ukiisha itakuwa Ni Eid atafaidi.
 
Hehehe! Duh... hivi huyu Gado huja Tanzania kutembelea watu wake kweli?

Halafu naona hili janga la corona mumeanza kuligawa kwa misingi ya vyama, barakoa za CCM sasa zitatolewa kwa WanaCCM tu, hebu angalia huu uzi jamaa alianzisha CCM Kugawa bure mask kwa wanachama wake - JamiiForums
Ukiambiwa acha kufanya jukwaa la siasa kuwa ndio source ya habari zako wala husikii,
Ila ni muendelezo wa akili yako finyu,
Embu tizama hii video kisha ulinganishe na ulichoandika hapo na kilicho andikwa kwenye huo uzi.
 
Narrow--bee fly

Kufurahia majanga ya Wana East Africa wenzetu hii jumuia itakaa isimame KWELI.

Nyiee CCM msiependa kuambiwa ukweli mmeanza vijembe na Kenya kwasababu mungu wenu kaitwa mkaidi. Msiogope mfungo ukiisha itakuwa Ni Eid atafaidi.
Wacha kuandika upuuzi mara moja!
 
Haitwi Narrow Bee Fly anaitwa Nairobi Fly au Paderus Eximis/Sabaeus. Nairobi Fly sio 'bee', nyuki, wa aina yeyote ile ni Rove Beetle. Jina Narrow Bee Fly hutalipata kwenye vitabu vyovyote au kwenye material yeyote kutoka kwa wataalamu na wanasayansi. Hata ukifanya search tu mitandaoni utaliona kwenye blogs tu na site za ajabu ajabu. Wanasayansi, tena sio wakenya, ndio waliibuka na jina hilo mwaka wa 1993.
 
Back
Top Bottom