Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wanaitwa Narrow-bee fly, japo tumeshazoea kulitamka ndivyosivyo.Jamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Carbanet, Baringo.
Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a corrosive substance known as pederin. They are species of the rove beetle genus Paederus, and are black and red in colour, and about 6–10 mm long. They live in rotting leaves where they lay their eggs.
- Wikipedia.
Rekebisheni huko Wikipedia. Manaake wanasema pia wanaitwa Kenya Fly.Wanaitwa Narrow-bee fly, japo tumeshazoea kulitamka ndivyosivyo.
Dah! hatari sana hawa majiduduJamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Karbanet, Baringo.
Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a corrosive substance known as pederin. They are species of the rove beetle genus Paederus, and are black and red in colour, and about 6–10 mm long. They live in rotting leaves where they lay their eggs.
- Wikipedia.
Washaniachiaga kovu kwenye shingo, design kama lovebite, basi dem angu mpaka Leo anajua nilichepuka.Dah! hatari sana hawa majidudu
Hakuna janga kubwa kama hili!Hehehe!! Hivyo ni mwendo wa kusaka kila janga lililo kwa jirani na kulianika....haya hii hapa yenu, tetemeko la ardhi licha ya Corona kuwatesa.
Ila hawa jina lao halisi sio Nairobi fly, ni NARROW BEE FLY.Jamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Karbanet, Baringo.
Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a corrosive substance known as pederin. They are species of the rove beetle genus Paederus, and are black and red in colour, and about 6–10 mm long. They live in rotting leaves where they lay their eggs.
- Wikipedia.
Hakuna janga kubwa kama hili! View attachment 1429653
Ni Mkenya kaandika hiyo article huko Wikipedia, eti Kenya flyRekebisheni huko Wikipedia. Manaake wanasema pia wanaitwa Kenya Fly.
The name is actually Nairobi fly. Narrow-bee fly was an internet hoax that went too far.Ila hawa jina lao halisi sio Nairobi fly, ni NARROW BEE FLY.
Sasa sisi waswahili wa Kenya na Tz tukatwanga Nairobi fly. Sio mbaya kwani majina huzaliwa na wadudu wamepatia sehemu ya kwenda kwa wenye jina la mji wao
Something is very wrong with your education systemThe name is actually Nairobi fly. Narrow-bee fly was an internet hoax that went too far.
Ukiambiwa acha kufanya jukwaa la siasa kuwa ndio source ya habari zako wala husikii,Hehehe! Duh... hivi huyu Gado huja Tanzania kutembelea watu wake kweli?
Halafu naona hili janga la corona mumeanza kuligawa kwa misingi ya vyama, barakoa za CCM sasa zitatolewa kwa WanaCCM tu, hebu angalia huu uzi jamaa alianzisha CCM Kugawa bure mask kwa wanachama wake - JamiiForums
Wacha kuandika upuuzi mara moja!Narrow--bee fly
Kufurahia majanga ya Wana East Africa wenzetu hii jumuia itakaa isimame KWELI.
Nyiee CCM msiependa kuambiwa ukweli mmeanza vijembe na Kenya kwasababu mungu wenu kaitwa mkaidi. Msiogope mfungo ukiisha itakuwa Ni Eid atafaidi.
If you been through primary school and you still ask this type of question then there's something wrong with your education system.