Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mtu lazima uokote makopo.[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]hahaaa muda simrefu tutaona mtu analazimisha kuliwa samvu la kopo
yaani japo kuwa ni BAUNSA lakini atakuwa anawakaba watu kinguvu na kuwalazimisha wamle..jamani rejesheni vitu vya watu ..maana huyo aliyeibiwa itakuwa ameshavuka maji SAA hizi yupo UNGUJA HUKO
Mie mwenyewe nasubiria movie... Ianze mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji125]ngoja tuone..
Watakoma mzee kaenda pemba kusoma albadir, akirudi huko wezi wote waliomuibia wanakuwa mapunga...Ndo warudishe sasa vitu vya watu😉😉
Hahahahahahahaaaa nimecheka hapo uliposema wanakuwa mapunga! Wizi mbaya sanaWatakoma mzee kaenda pemba kusoma albadir, akirudi huko wezi wote waliomuibia wanakuwa mapunga...
hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hatari mno! Mkuu [emoji23] [emoji23]Kaaazi kweli kweli
[emoji23] [emoji23]Hilo Tangazo Nalifananisha na Yule Jamaa Aliyesema Anapeleka Kilio Ukweni Afu Akapotea Mazima Watu Wengine hawalogeki
Kweli lkn mkuu albadir mbaya sana!Hahahahahahahaaaa nimecheka hapo uliposema wanakuwa mapunga! Wizi mbaya sana
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] jidanganye hivyo hivyo mkuu.Haa ha ha..watu hawaogopa alimbadilii...!! Ya lisu yenyewe haikufanya kaziii...
Noma!hahaaaa