MAJANGA!

hahaaa muda simrefu tutaona mtu analazimisha kuliwa samvu la kopo

yaani japo kuwa ni BAUNSA lakini atakuwa anawakaba watu kinguvu na kuwalazimisha wamle..jamani rejesheni vitu vya watu ..maana huyo aliyeibiwa itakuwa ameshavuka maji SAA hizi yupo UNGUJA HUKO
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hilo Tangazo Nalifananisha na Yule Jamaa Aliyesema Anapeleka Kilio Ukweni Afu Akapotea Mazima Watu Wengine hawalogeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…