Majanga

namdu

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
9
Reaction score
2
Leo nimemshangaa jamaa mmoja tukiwa kwenye dalalada la ubungo gongo la mboto kavua shati la rangi ya kijani kwa madai kwamba anaogopa kupigwa na wapinzani wa ccm kwakuwa kavaa rangi ya kijani kila mtu kamshangaa kwenye gari yaani haikuniingia akilini tena ni kijana wa maana tu akashuka buguruni kwenye mbao akiwa kifua wazi jmn hatujafika huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…