Majangaa Makubwa yaliyoikumba Nchini Oman jana usiku kumetokea Mafuriko Makubwa sana kwa Sababu ya Mvua ilnyesha kwa wingi lakini salama

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Majanga makubwa lakini salama wewe mzee siku hizi umeanzia kuchanganyikiwa

USSR
 
Majanga makubwa lakini salama wewe mzee siku hizi umeanzia kuchanganyikiwa

USSR
Kivipi kuchanganyikiwa? Majangaa yametokea ya Mafuriko ya Mvua lakini salama hajafa Mtu. Kutokea majangaa ya mafuriko Uarabuni haswa nchini Oman ni jambo la kawaida. Laiti yangetokea hayo majangaa ya mafuriko ya mvua huko kwetu haswa jiji la Dares-Salaam ungesikia vifo vingi na vilio vya watu lakini kwa nchini Oman ni jambo la kawaida tu. Sasa Wapi mimi nilipo changanyikiwa?au huelewi Kiswahili nilichokisema nini? weweni mtu wapi hapo Tanzania?Inaonyesha Kiswahili cha kinakupiga chenga pole sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…