Kibosho kwetu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 215
- 85
Naomba kuuliza kwakuwa mimi mgeni vyakula vya mjini. Hivi yale majani ya kotmir yanawekwa kama mapambo kwenye chakula yanaliwa au ni urembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa ninayatafuna kama wanavyo kula mbuzi kwa hizo faida zake uliozitaja ninazipata.Sitaki ujinga kupitwa na faida ya majani ya kotmiri.View attachment 376927
Kispanish yanaitwa Cilantro, English Coriander asili yake yametokea Mexico,
Faida zake: ni majani yenye vitami C, VitaminE, VitaminK na Vitamin B6
Kwa mimi ngumbalu ninayatumia kwa aroma nzuri ya chakula pia yana kata shombo kama la nguruwe, mbuzi na pia nyama ya ng'ombe. Kwenye salad yanakupa zaidi faida za hapo juu.
YANALIWA YAKIWA MABICHI NA AU YAKIPIKWA KWA KUCHANGANYWA KWENYE MBOGA YOYOTE ILI KUTIA LADHA PIA HARUFU NZURI NA KUONGEZA HAMU YA KULANaomba kuuliza kwakuwa mimi mgeni vyakula vya mjini.hivi yale majani ya kotmir yanawekwa kama mapambo kwenye chakula yanaliwa au ni urembo