Majaribio Nyumbani kwa Zakayo

Majaribio Nyumbani kwa Zakayo

B M F ICONIC

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
824
Reaction score
1,631
Baada ya mzee mageti kufanikisha uwekezaji kwenye Teknolojia aliamua kuingia mikoani na kuingia katika uwekezaji wa vyakula, Afya, tiba pamoja na njacho.

Ndipo akakutana na mzee zakayo na kukubaliana zoezi la vitambulisho liwe la kidijitali wanakijiji wasiwe wanabeba makaratasi . Pia aka kumshawishi mzee huyo kuwa wanyama walao majani kama ng'ombe uchangia katika ongezeko la hewa ya methani hivyo ana suluhisho lake ambapo wanyama ao watapewa chanjo ili kupunguza ongezeko la joto duniani ( global warming)


View: https://www.instagram.com/reel/DCYR56dJ2aM/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==


View: https://www.instagram.com/reel/DEIjmx9ueyU/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==


View: https://www.instagram.com/reel/C-PDIDpM8XC/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Wadhamini
IKumbukwe nyumbani kwa zakayo wameruhusu GMO ( Genetic modifified organism) yaani mazao yaliyofanyiwa mabadiliko kijenetiki
Tusishangae tukiwakuta sokoni


View: https://www.instagram.com/reel/DALAeiCOePh/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/reel/DE-5I9vhz0G/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Ni kweli bwana ma geti ana nia njema na sisi?
 
Back
Top Bottom