Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante kwa tahadhari wale mnaopenda Kunya kwenye mataaluma ya reli msije sema hamkuonywa umeme ukiwanasa kwenye makalio yenu msije kupiga yowe humu .kaeni mbali
🤔Tumechoka kusikia hbr za majaribio mlisema mwezi wa 4 reli itaanza kufanya kazi imekua tena majaribio !!
Jamaa story day after daywhite elephant project kwenye ubora wake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Asante kwa tahadhari wale mnaopenda Kunya kwenye mataaluma ya reli mguu mmoja mnatanua mnauweka taaluma la kulia mguu mwingine taaluma la kushoto mkinya katikati ya reli msije sema hamkuonywa umeme ukiwanasa kwenye makalio yenu msije kupiga yowe humu .kaeni mbali
Dubai Metro au Gautrain hujenga ukuta/madaraja kuzunguka miundo mbinu. Hapa kwetu tujiandae kuzika vibudu mfululizoTangazeni intensively locally na kwenye media kubwa na ndogo, bado kuna uwazi ambao watu wanaweza kuingia na kudhurika.
Mkiweka siasa na ktk hili mtaua kwa uzembe!
Please, spare mpk mifugo yetu as hata mbuzi akifa ni bonge la hasara, maisha magumu jamani!