Ni huzuni kwakweli💔Yaani na kizazi hiki hakiogopia kabisa. Kizazi chetu kipindi cha Kina Johari na Kanumba watu wanarukaruka na kuhara kusikia wameathirika lakini hawa vijana wamechill tu coz wanajua dawa zipo🤣🤣🤣🤣mweee
I know... ila makubaliano yetu haya kuwa hivi Bi AnaMadanga ya mkeo yanakueka mjini
Jaman sawa tutareview makubalianoI know... ila makubaliano yetu haya kuwa hivi Bi Ana
Kuna kitu nakutumia mie hoiii hapaJaman sawa tutareview makubaliano
NasubiriKuna kitu nakutumia mie hoiii hapa
Nina ziaminiMkuu ma wew unaamini hizo conspirancy theories
Hehehehehehejjee.... wadau wameupenda zaidi twende kaziUzi umebadilishwa title
Hao ndio wasomi, wako busy kuja na major solution. Wasomi wetu wana conduct such a life changing project kama hizi?Jaribio la kimatibabu la HIV lililofanyika barani Afrika limeonesha kuwa baadhi ya wanawake wanaweza kudhibiti virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi (ARVs) kwa muda mrefu baada ya kupokea matibabu ya mchanganyiko, jambo linaloashiria hatua kubwa kuelekea tiba ya UKIMWI.
Jaribio hilo, lililopewa jina la FRESH, lilifanyika Durban, Afrika Kusini, na limebaini kuwa wanawake wanne kati ya 20 waliopata maambukizi ya HIV kwa mara ya kwanza wameweza kuacha kutumia ARVs kwa takriban miezi 18 huku wakidumisha kiwango cha virusi kisichogundulika na idadi ya kawaida ya seli za kinga za CD4.
"Tunaendelea kuwafuatilia kwa karibu, lakini angalau inadhihirika kuwa kwa baadhi ya watu, hata kama ni wachache, tiba hii imeonekana kufanya kazi," alisema Profesa Thumbi Ndung'u, Mkurugenzi wa Sub-Saharan African Network for TB/HIV Research Excellence na mmoja wa watafiti wakuu wa jaribio hili.
Mwanasayansi huyo kutoka Kenya ni miongoni mwa watafiti wa jaribio hili. Aliwasilisha matokeo ya utafiti huo katika Mkutano wa 2025 wa Retroviruses and Opportunistic Infections uliofanyika San Francisco, Marekani, wiki iliyopita.
Utafiti huu ulitumia mbinu ya kinga ya mchanganyiko. Kwanza, watafiti waliwapatia washiriki dawa za ARVs kwa angalau mwaka mmoja ili kupunguza virusi na kuhifadhi kazi ya kinga ya mwili. Kisha waliwapatia tiba ya kingamwili yenye broadly neutralising antibodies, ambazo huzuia HIV kushambulia seli, pamoja na toll-like receptor 7 agonist, ambayo huimarisha mwitikio wa seli za kinga dhidi ya virusi.
Baada ya kusitisha matibabu, washiriki waligawanywa katika makundi matatu:
- Wale ambao virusi vilirudi haraka (ndani ya wiki 16).
- Wale waliodhibiti virusi kwa kati ya wiki 16-44 kabla ya kurejea kwenye ARVs.
- Wale walioweza kudhibiti virusi kwa muda wote wa wiki 48 bila dawa yoyote.
Tiba Kamili
Katika mahojiano ya Zoom na nation.africa, Profesa Thumbi alieleza kuwa ingawa tafiti nyingine za tiba ya HIV zimefanyika nje ya Afrika – na baadhi zikihusisha tiba kamili au kuondoa kabisa HIV – tafiti hizo zimetegemea taratibu ngumu za kitabibu kama kupandikiza uboho wa mifupa, jambo ambalo si rahisi kutekelezwa katika mfumo wa afya ya umma.
Chanzo: The Citizen
Ujumbe mzuri sana Mjukuu, lakini mbona hapo kifuani Kwa huyo binti pamekuwa flat namna hiyo
Kwani hayo maradhi yana asili ya Africa ama Ulaya?Mie muafrica ila katika watu wanaotakiwa kuingia motoni wa kwanza na kuni ziwe nyingi ni waafrica.
Roho zao nyeusi kama ngozi zao.
Wazubgu wote peponi
😁😁Ujumbe mzuri sana Mjukuu, lakini mbona hapo kifuani Kwa huyo binti pamekuwa flat namna hiyo
kweli Vijana wa hovyo, wanajua kuyalaza aisee 😜🙌
Inawezekana ni maumbile kama ulivyosema, binti akiwa mwembamba sana hupelekea hiyo hali😁😁
Sina hakika kama mie nafaa kuwa na umri wa kuwa mjukuu wako, inawezekana nikawa mwanao.
Hayo ni maumbile tu mzee wangu, inawezakana mtoa nasaha ni mfuasi wa Dr. Janabi ama ni aina tu ya mbegu.
Inawezekana ni maumbile kama ulivyosema, binti akiwa mwembamba sana hupelekea hiyo hali
Japo kuna wengine wanakuwa na miili ya wastani, kutokana na Vijana wa hovyo kunyonya sana vifua vyao wamefanya viwe flat 😜
Umri wangu wa miaka 79 unadhani hustahili kuwa Mjukuu wangu kweli? 🤗
Ku- maintain comes with it's consequencesHahaha!
Mimi ni mwanao.
Kwa kumwangalia tu nafikiri ni mambo ya Dr. Janabi, aidha kwa kupenda ama kutokupenda.
Yaani serikali yetu inawasaidia “wazungu” kulinda biashara zao za ARVs.Nina ziamini
Ukitaka kuona ukweli wa hizo conspiracies theories, gundua dawa ya Kutibu Ukimwi ama Cancer uone kama hautauawa.
Nina jamaa angu mmoja, yeye anadeal na mambo ya tiba asili.
Anasema wameambiwa kabisa na Serikali, hata kama wamefanikiwa kupata dawa za kuweza kumponya mgonjwa wa Ukimwi, hawatakiwi kuisema
Kwani itakuwa ni kuwaharibia Wazungu biashara zao za ARVs
Ku- maintain comes with it's consequences
Unlucky her, atapata shida sana kuendana na Vijana wapenda kunyonya😜
Kwa umri ule ulioniambia, kweli ni somehow rika la my last born wangu 🤗
Unavyowaona Kuna Kiongozi gani aliye mzalendo kati ya waliopo?Yaani serikali yetu inawasaidia “wazungu” kulinda biashara zao za ARVs.
Don't worry, had my jokes put on that reply!Possibly naweza kuwa sawa na last born wako, kuhusu umri mbona sijawahi kuusema popote hapa Jf mzee wangu?