Majaribio ya VAR Kuanza Kutumika Leo Nusu Fainali Ligi ya Vijana

M6 Media Tz

New Member
Joined
Jul 14, 2022
Posts
3
Reaction score
7
Teknolojia ya Usaidizi wa marejeo ya picha za mnato kwa Waamuzi ‘VAR’ inataraji kutumika leo Ijumaa, Julai 15, 2022 kwa majaribio kwenye michezo ya Nusu Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya miaka 20 nchini Tanzania.



“Kwa mara ya kwanza, kwa maana ya mashindano, kwa maana kama nchi tunakwenda kufanya majaribio ya VAR katika michezo ya nusu fainali kwa maana ya kwamba Coastal Union na Mbeya Kwanza lakini pia Mtibwa Sugar na Azam”



“Kwahiyo ndani ya Uwanja wa Azam Complex Chamazi hizo set-up zitakuwa zimefanyika. Na patapokuwa na controversial zinazohitaji kufanyiwa hakiki kabla ya tukio, basi mwamuzi atapata nafasi ya kwenda kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi yake ya mwisho,” amesema Meneja wa Mashindano TFF – Baraka Kizuguto.

 
Ni hatua kubwa, wakija ligi kuu itasaidia kupunguza matumizi ya miamala.
 
Canter yake iko nchi gani au mkoa gani?
 
Hatua kubwa mno, soccer la Bongo linapiga hatua kwa speed kubwa sana. Kwa sasa ndani ya Afrika hii tupo nyuma ya nchi chache mno.
Shukrani kwa Azam na TFF
 
Dah naiona hapa ikitumika kati ya game la mtibwa na azam.
Mwanzo mzuri..waongeze idadi ya kamera isaidie katika review.
 
Kama ndo hivi next season kagere anatoka bila goli, mzee wa kukaa mbele Kama Imamu akipata hata Moja niiteni mbwa nipo paleeee
 
Kama ndo hivi next season kagere anatoka bila goli, mzee wa kukaa mbele Kama Imamu akipata hata Moja niiteni mbwa nipo paleeee
Sema umeamua tu kututambulisha jina lako jipya kiujanja ujanja
 
Ni hatua nzuri sana japo kwa sisi wabetiji ni kilio hasa pale magoli ya timu kubwa yanapokataliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…