Majasusi wa Ukraine wamlipua jenerali wa Urusi kwa kutumia simu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi.

Huyu kapokezwa simu ya mkononi ikamlipukia, maisha ya hovyo sana, walivamia nchi ya watu wakadhani wao wataendelea kuishi kama malaika.

Wasichokijua vita huibua visasi na chuki, kuna mtu labda kapoteza ndugu zake wote kule Ukraine, hana kingine cha kupoteza zaidi ya kwenda Urusi na kujitoa mhanga, ukizingatia hamna namna ya kutambua yupi Mrusi na yupi wa Ukraine, wote wanafanana na kunao watu wa Ukraine wanaongea Kirusi chote nje nje.

A RUSSIAN general was seriously wounded after being given an 'exploding phone' by Ukraine's secret service.

Yuri Afanasevskii, 64, is injured in hospital as is his son following the explosion at his house in Luhansk.

Yuri Afanasevskii, 64, is seriously injured in hospital as is his son
Yuri Afanasevskii, 64, is seriously injured in hospital as is his sonCredit: East2West
Russian sources are blaming Ukraine's SBU secret service after explosives were reportedly planted inside a mobile phone that was given to him.

A woman suspected of handing the FSB general an exploding device is being held under investigation for attempted murder.

Russia's Investigative Committee said she gave him “a mobile phone with an explosive device that was set off after the phone was activated."

The Sun
 
Taarifa za mchongo kutoka buza
 
Source: The Sun

NB: Msalimie waziri wa ulinzi.
 
Ndugu yangu MK254 elekeza hizi nguvu kuijenga Kenya na Afrika yake hao Ukrain hata wakishinda mapigano huna unalo lipata. Na ukienda kwao wanakuona kima flani tu
Kama mada haikuhusu piga kimya.
 
Hivyo ndivyo science inavyofanya kazi kule kwenu ndio kwanza munavunja tufali kwa ngumi ama kupinda nondo kwa mkono., jana China kapiga marufuku matumizi ya simu aina ya iPhones na yeye kashajua anawindwa lakini wachina wanazipenda iPhone kuliko kitu chochote na hawako tayari kutii agizo la serikali kwa sababu hawana mbadala wa simu za kichina Huawei hazina viwango
 
Ndugu yangu MK254 elekeza hizi nguvu kuijenga Kenya na Afrika yake hao Ukrain hata wakishinda mapigano huna unalo lipata. Na ukienda kwao wanakuona kima flani tu
Sasa mkuu haka kapost tu katamzuia kuijenga Kenya?
Mbona wewe umeacha kuijenga nchi ya Tanganyika kwa kuelekeza nguvu kujibu?
 
Sababu ya kuandika hivyo jamaa kila siku analeta uzi wa vita vya Ukrain na Russia.

Mimi kwetu Nanyuki nasoma Inoro secondary school naishi barabara ya Nanyuki - Marura rd Tanganyika ijengwe na wenyewe.
 
Ndugu yangu MK254 elekeza hizi nguvu kuijenga Kenya na Afrika yake hao Ukrain hata wakishinda mapigano huna unalo lipata. Na ukienda kwao wanakuona kima flani tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom