Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Marekani yasema kuwa majasusi wa Urusi (FSB) wamemtambua gaidi No. 2 aliyekuwa kwenye team ya mauaji ya binti mwandishi wa habari wa Urusi Darya Dugina huko Urusi. Gaidi huyo ametajwa kuwa ni Bogdan Tsyganenko, m-Ukraine wa kiume mwenye umri wa miaka 42 ambaye aliingia Urusi kupitia Estonia Julay 30 na kuondoka Urusi siku moja kabla ya mauaji kufanyika.
Majasusi hao wa Urusi wanasema kuwa huyu gaidi namba 2 (Bogdan) ndiye aliyemsaidia Natalya Vovk (gaidi namba 1) kumpatia ID feki na namba feki za usajili wa gari. Na ni huyu gaidi namba 2 ndiye alimsaidia Natalya ku-assemble bomu lililotumika kulipua gari aliloendesha Darya.
Pia pitia: Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)
=====