Hizi ni lecturer za Havard chini ya mwamvuli wa somo la philosophy lakini ukisikiliza vizuri ndo unaona wale wanaojiita watu wa "system" sehemu mbali mbali duniani ndio waaanza kutayarishwa kwa style hizi
Prof sandel wa havard hapa anaendelea kushusha nondo kuhusu " How to lie and stay clean". teh teh teh teh teh
katika lecturer Anauliza swali
Whats the difference between Outright lie and misleading truth.?? Anatolea mfano Halisi wa Bill clinton na Lewinsky. wamba Clinton aliongea misleading truth.