Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
- Thread starter
-
- #21
mhhhh
sasa hawa ni maspecialist wa udalali
sijui wamequalify lini kufanya shughuli hizi za ubungo
swali tangazo la hii tenda lilitolewa lini na SUMATRA na je mbona hatujaambiwa kama sheria za PPRA zilifuatwa na mchakato uliofanywa uliwapitisha akina nani mpaka akapatikana huyu Majembe?
surely kwa issue controversial kama UBUNGO BUS stop ilitakiwa SUMATRA waonyeshe due to public interest Business plan yao nzima na malengo gani wanayo katika kufanya kile kituo kiwe user friendly
au tunakosea kuuliza?
Halafu kwa nini PINDA hataki tuone first (original ) version ya ripoti ya CAG kuhusu UBUNGO?
Jana tu walikamata magari 100 daladala kwa kosa la kutovaa uniforms madeva na kodactors, faini sh. 100,000 mpaka 150,000/= umeipata hiyoooo? Wenye malori na mabasi hapatoshi.
Hivi hawana kiwango cha faini? Ninavyo fahamu, kwa makosa mengi ya barabarani, fain ni 20,000/= kwa kila kosa, sasa hiyo faini sh. 100,000 mpaka 150,000/= ni ya kotovaa sare au ni pamoja na makosa mengine?