Majembe Auction Mart

Alamasroad

Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
44
Reaction score
0
Wazalendo wa Tanzania Asalam Aleikum;
Ni vema nikapenda kujua ili nami niwe moja ya watanzania wanao jua hawa jamaa wanafanya nini na zipi shughuli zao maalum kabla ya hii.

Leo nimeona wengi wakishangili kupewa kwao tenda na Sumatra, lakini mimi binafsi bado sijawakubali labda kwakuwa sijui jukumu lao hasa kwa watanzania na faida yao kwa watanzania.

isije fika siku yakawa mabo kama ya Richmoduli enzi inaanzaisha maana tulisikia mengi mara Mvua za kutengeneza inyeshe kwenye mabwa tu.

Leo Majembe Auction Mart anapewa kazi hii na Sumatra kweli yatumike tu kulima na mavuno yawe na faida kwa watanzania na yasilime na kuwa faida ya mazao ni ya watu wachache. MAFISADIS

Waungwana mnao wajua viurinaomaba mtujuze na sie.
 
Sasa kipi hapo ni breaking news? ukienda kwenye thread aliyoanzisha Game Theory utapata majibu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…