Majenereta yapanda bei Kariakoo

Majenereta yapanda bei Kariakoo

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Baada ya Tanesco kutangaza kuanzia February mosi kutakuwa na mgao wa umeme, leo nikaona walau nipite Kariakoo niangalie majenereta ili shughuli zangu za kiuchumi zisije kukwama, nikakuta bei imechangamka sana yaani haishikiki.

Wafanyabiashara wametumia fursa ya tangazo la Tanesco, wameamua kupandisha bei kwa 100%. Tukimbilie wapi sijui?
 
Tutamkumbuka hadi vitukuu vyetu, ni hilo tu ndugu zangu haters wa upande ule
 
We are being twisted by few as if we totally crazy and useless.
 
Endeleeni tu kuzusha uongo kwa chuki zenu lakini mjue yule mungu wenu harudi tena.
 
Baada ya Tanesco kutangaza kuanzia February mosi kutakuwa na mgao wa umeme, leo nikaona walau nipite kariakoo niangalie majenereta ili shughuli zangu za kiuchumi zisije kukwama, nikakuta bei imechangamka sana yaani haishikiki.

Wafanyabiashara wametumia fursa ya tangazo la Tanesco, wameamua kupandisha bei kwa 100%. Tukimbilie wapi sijui?
Mambo ya mgao wa umeme
 
Back
Top Bottom