Baada ya Tanesco kutangaza kuanzia February mosi kutakuwa na mgao wa umeme, leo nikaona walau nipite kariakoo niangalie majenereta ili shughuli zangu za kiuchumi zisije kukwama, nikakuta bei imechangamka sana yaani haishikiki.
Wafanyabiashara wametumia fursa ya tangazo la Tanesco, wameamua kupandisha bei kwa 100%. Tukimbilie wapi sijui?