Nafikiri wamefunga kitu kama CCCTV camera kuona kama ngoma inaweza ikaamka!! vipi yanapatikana supermarket gani? vipi wanatoa promotion msimu huu wa sikukuu??? pls details
Upuuzi mtupu, mnapamba jeneza, wakati mtu huyo alipokuwa hai mlishindwa hata kumjengea nyumba nzuri. Si ajabu huyu alikuwa anakaa barabarani kuomba, halafu akifa mnajifanya kumjali. Dont you know kwamba maiti ni sawa na jiwe, au gogo? Kumzika kwa jeneza la almasi au dhahabu kunasaidia nini? Upuuzi mtupu.
mmmmmhhhhhh ubaya mziki utakuwa sauti kubwa sana na hautasikia kitu...
na kama hiyo pembeni ndo flat screen TV umechemsha kwa sababu macho hayata funguka,,,:rip::rip::rip: