Majeneza mengine bana...

Hilo siyo jeneza jamani, ni enthusiast mmoja amekaa na kuunda pc ya kufanana na jeneza!

 
Ni wendawazimu, kutojua maana kifo ni upotezaji wa rasilimali.
 
Ni yale yale, bora kutokuwa na hivyo vyote lakini uko hai kuliko kuwa hivyo vilivyoonyesha but dead!
 
Ubunifu wa namna hii ndiyo unaohitajika katika jamii yetu, hata kama siyo kwa teknolojia ya computer. Tuachanane na kujadili mambo ya UDINI.
 
utaukiwekwa kwnye jeneza la aina gani ww ni udongo tu na udongoni utarudi tu ww
 
Ila kama mmegundua hapo tatizo ni moja tu mouse na earphones ziko nje sasa sijui wa nje wanamcontrol wa ndani au hii ni stle ya music system tu
 
Ni kujidanganya kwa binadamu kwani huko wanakoenda waliokufa hakuna aliyerudi kuja kutuambia kuna nini hata ukimweka marehemu kwenye jeneza hili haisaidii ameondoka hajui kitu kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…