mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hi Wanajamvi, mie nimekuwa nikishangaa kila siku majengo mengiii tena mazuri na yakuvutia yamekuwa yakiongezeka kila kukicha lakini ze kodi kubwa balaa, kwanini? yaani utakuta wanapangisha sq moja dola 25 mara 17 nk sasa ndo sielewi wanapata wateja wakutosha ama? maana naona mengine bado yapo empty so why wanafanya hivi? au ndo kutaka kurudisha gharama za ujenzi haraka ama ni nini?