KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Yaani kwa mimi nayejua minada ya mbuzi nakuunga mkono yaani kama pugu mnadaniInasikitisha sana majengo yetu ya ferry za Magogoni na Kigamboni kuwa kama mahabusu.
Ndani mnalundikwa utadhani mbuzi wako Vingunguti wanasubiri kuchinjwa.
Hamna viburudisho wala miundombinu rafiki.
Serikali heshimuni afya na haki za wateja wa vivuko vyenu, wanahitaji mazingira mazuri na rafiki. Usafiri wa umma sio adhabu
Pita nyerere bridge acha ngendembweeInasikitisha sana majengo yetu ya ferry za Magogoni na Kigamboni kuwa kama mahabusu.
Ndani mnalundikwa utadhani mbuzi wako Vingunguti wanasubiri kuchinjwa.
Hamna viburudisho wala miundombinu rafiki.
Serikali heshimuni afya na haki za wateja wa vivuko vyenu, wanahitaji mazingira mazuri na rafiki. Usafiri wa umma sio adhabu
Utadhani hii ni excuse yenye mashiko? Vipi kwa wasio na uwezo? Je hawahitajiki kufaidi keki ya taifa?Pita nyerere bridge acha ngendembwee
Bas kama unataka kufaid keki kaa kwwnye kibanda kamq jera kama wenzakoUtadhani hii ni excuse yenye mashiko? Vipi kwa wasio na uwezo? Je hawahitajiki kufaidi keki ya taifa?
Lazima tutetee haki ya wasio na uwezo, wanastahili huduma.boraBas kama unataka kufaid keki kaa kwwnye kibanda kamq jera kama wenzako