zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,930 May 21, 2012 #41 Mikael P Aweda said: Kati ya watu wa kuhurumiwa wewe ni namba mmoja mkuu. Utakosa vingi ktk maisha kwa hasara yako for sure. Click to expand... Tatizo lako ni mawazo yako. So materialistic. Kwa kukosa udaku ndio nimekosa vingi? huoni kuwa ni faraja kubwa kukosa hayo?
Mikael P Aweda said: Kati ya watu wa kuhurumiwa wewe ni namba mmoja mkuu. Utakosa vingi ktk maisha kwa hasara yako for sure. Click to expand... Tatizo lako ni mawazo yako. So materialistic. Kwa kukosa udaku ndio nimekosa vingi? huoni kuwa ni faraja kubwa kukosa hayo?
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,930 May 21, 2012 #42 Smile said: loh chuki binafsi hizi? au mm kakutosa? Click to expand... Hapana, sina chuki na yeyote wala hajanitosa wala sijamtosa, hana hadhi hiyo. Tatizo lenu hamjui kusema ukweli hata mnapoujuwa. Mimi ni different version.
Smile said: loh chuki binafsi hizi? au mm kakutosa? Click to expand... Hapana, sina chuki na yeyote wala hajanitosa wala sijamtosa, hana hadhi hiyo. Tatizo lenu hamjui kusema ukweli hata mnapoujuwa. Mimi ni different version.