Majeshi na watumishi wa Umma hawana makosa kuisapoti CCM, ni maagizo ya Standing Order zao

Majeshi na watumishi wa Umma hawana makosa kuisapoti CCM, ni maagizo ya Standing Order zao

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
TATIZO LA TANZANIA "Standing Order" zote za Majeshi na Utumishi wa Umma zinawataka kuwa wanachama wa CCM tu.

1. Hili ndilo limeniondoa Utumishi wa Umma na ndio sababu WATUMISHI wa Umma wameniwekea Vikwazo vya Kijinga kwa masilahi ya kijinga Sana.

2. Mtumishi lazima uisapoti CCM kwa Kanuni hiyo ya Standing Order.

3. Majeshi yote hasa Maafisa lazima uwe Mwanachama wa CCM lasivyo hata uafisa utavuliwa, ndio maana Polisi wanatetea CCM tu muda wote na kuwatisha Wapinzani. Hicho wanachosema ni kufuata Standing Order ya Utumishi wao na kulinda ajira zao.

4. Prison Standing Order ya Magereza, General Standing Order ya Polisi, Civil Standing Order ya Wafanyakazi wa Serikali na Judicial Standing Order ya Mahakimu zinazungumzia kuilinda CCM na sio kuilinda Serikali. Labda Kama wamefanyia marekebisho. Ukumbuke kuwa Chama kingine kinaweza kukamata Dola, je mtarekebisha Tena Kanuni za Utumishi muanze kulinda Chama kipya badala ya serikali?

5. Don Nalimison WATUMISHI WOTE wa Umma miaka yote wananipinga na kuni haribia maisha yangu kwa kuwa nimekuwa na pingana na Kanuni zilizooza za tangu mwaka 1977 ilipoanzishwa Chama Cha Mapinduzi. Kazi kweli kweli. Mimi sio poyoyo la kufuata Kanuni Batili.

DON NALIMISON
Simu: 0682 94 27 01.
E-mail: donnalimison70@gmail.com

Screenshot_20200904-112559.png
 
Bora uendelee na muziki wako tu. Halafu je ile bendi yako umeihamishia huko Dodoma au bado ipo kule Mwanza? Wananchi wa Jiji la Dodoma wanaisubiri kwa hamu sana.
 
sometimes a madman speaks a true word!

Ila standing orders hizo haziwachungulii kwenye sanduku la kura wamempigia nani, ndo maana rafiki zangu wa Jeshi la wananchi wamedokeza mpango walionao kwa mwaka huu kwenye uchaguzi hasa ukizingatia kile jeshi la polisi limekuwa likiwafanyia raia ambao ni ndugu zao
 
Don unamaana gani kusema standing orser hizo zinaipendelea CCM? Siamini kama kuna kitu kama hicho na hata qewe huwezi kua na ushahidi wa hilo. Kinachowezekana kua kinatokea ni maagizo ya mdomo kutoka kwa baadhi ya watendaji serikalini kwenda kwa wafanyakazi yakiwa na lengp la kutoa nafuu(advantage kwa chama tawala) lakini haiwezekani kua na standing order au secular ya namna unayoielezea wewe Mkuu
 
Kwa Mara Ya Kwanzaa nimeona mtu anajiweka kwenye nafas Ya kutetea raia pasipo kuogopa kufa, huyu mtu anapaswa kupewa tunzo na kuitwa Mandela wa tz
 
TATIZO LA TANZANIA "Standing Order" zote za Majeshi na Utumishi wa Umma zinawataka kuwa wanachama wa CCM tu.

1. Hili ndilo limeniondoa Utumishi wa Umma na ndio sababu WATUMISHI wa Umma wameniwekea Vikwazo vya Kijinga kwa masilahi ya kijinga Sana.

2. Mtumishi lazima uisapoti CCM kwa Kanuni hiyo ya Standing Order.

3. Majeshi yote hasa Maafisa lazima uwe Mwanachama wa CCM lasivyo hata uafisa utavuliwa, ndio maana Polisi wanatetea CCM tu muda wote na kuwatisha Wapinzani. Hicho wanachosema ni kufuata Standing Order ya Utumishi wao na kulinda ajira zao.

4. Prison Standing Order ya Magereza, General Standing Order ya Polisi, Civil Standing Order ya Wafanyakazi wa Serikali na Judicial Standing Order ya Mahakimu zinazungumzia kuilinda CCM na sio kuilinda Serikali. Labda Kama wamefanyia marekebisho. Ukumbuke kuwa Chama kingine kinaweza kukamata Dola, je mtarekebisha Tena Kanuni za Utumishi muanze kulinda Chama kipya badala ya serikali?

5. Don Nalimison WATUMISHI WOTE wa Umma miaka yote wananipinga na kuni haribia maisha yangu kwa kuwa nimekuwa na pingana na Kanuni zilizooza za tangu mwaka 1977 ilipoanzishwa Chama Cha Mapinduzi. Kazi kweli kweli. Mimi sio poyoyo la kufuata Kanuni Batili.

DON NALIMISON
Simu: 0682 94 27 01.
E-mail: donnalimison70@gmail.com

Nilikuwa sitaki kabisa kuchangia hoja za namna hii ila kutokana na upotoshaji mkubwa ulioandika wanawajibika kuonesha uzushi uliopo kwenye andiko lako.
Nikianza na hoja ndogo sana katika kudhihirisha uzushi huo naomba utuoneshee kifungu chochote cha Kanuni hizo ulizozitaja kinacholazimisha watumishi kuwa ulivyodai.
Nasubiri hapa
 
Duuu kuna wanajiamini aiseee,Yani umetupia picha yako kabisaaaa!
 
Back
Top Bottom