Kwani uchaguzi ni vita?Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeandaa mazoezi ya pamoja ya utayari kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo. Mazoezi hayo yalilenga kuimarisha mshikamano, mawasiliano, na uwezo wa pamoja katika kutekeleza majukumu ya kulinda raia na mali zao.
hao siku ya maandamano tutawatia madole ya matako wanakula pesa za bure tuNimegundua kitu, kumbe hata STIVU NYERERE akivalishwa GWANDA ZA GESHI anatisha sana.
TIVU AKEE akivaa zile akipewa na kirungu kwa hakika unaweza kujiharishia kwa hofu.
Nimeona hapo huyo mdada bonge naye kavaa sare za geshi anakimbia huku makalio yananesa nesa! Nimeogopa sana.
Jeshi linaaibishwa na wahuni. Sidhani kama hawa ni wanajeshi.
Hii ni AKILI MNEMBA.
Inasemekana Kulikuwa na agizo la 50 kwa hamsini..!naye
Wanatii amri ya Mange Kimambi hawa vilaza wa Div IV ya point 32Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeandaa mazoezi ya pamoja ya utayari kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo. Mazoezi hayo yalilenga kuimarisha mshikamano, mawasiliano, na uwezo wa pamoja katika kutekeleza majukumu ya kulinda raia na mali zao.