Majeshi ya Afrika kuna yalichojifunza kutoka kwa Jeshi la Israel (IDF) hasa kwa kushambulia maadui wa kila kona kwa pamoja?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
 
Rwanda is overrated! Nakwambia kambi ya monduli kama ingekuwa karibu na Rwanda ingetosha kabisa kuikamata Rwanda yote ndani ya siku 3.
Nimesema Majeshi ya Afrika sijasema Jeshi la Rwanda. Jamani mkijijua ni Empty Set tafadhali msiwe mnasoma Mada zangu. Wapisheni hapa Watu ambao huwa ni wepesi sana Kunielewa GENTAMYCINE na nyie Mjifunze Kwao. Kwa taarifa yako hapa kuna Jeshi moja ndiyo nimelilenga na Kulifumbia na wala siyo la Rwanda.
 
Tulia ww kiazi sijakujibu ww! Nimemjibu huyo kiaz mwingine aliyesema Rwanda..
Halafu ww fala unamatambo mengi wakati nikisoma mada zako naona upo zero kichwani! Halaf unajiona unajuaaa kumbe tunakuangaliaga tu unavyoburuza vilaza wenzako! Kaa makini mm namba nyingine.
 
Namba nyingine kwa Ujuha au?
 
Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Majeshi ya Africa yamejikita zaidi kwenye namba 7
 
HIzo sifa apewe marekani na uingereza hao wengine ni cover up tu, ina maana hadi leo hujui vitu vidogo kama hivi
 
Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Kabla sijakujibu, angalia picha hii halafu unipe context yake, kisha nitakujibu.

1722415184048.png
 
Wao nyoka ni timing tu anakatwa kichwa hata awe kwenye chaka la miiba? Ndio maana viongozi majemedari wanaishia kutoa matamko ya kulaani na vitisho tu. Hii mbinu ni hatari
 
Kwa walichokifanya izrael kumuua gaidi mkuu ndani ya nchi ambayo imeshukiwa siku nyingi ndio inafadhili ugaidi na kuchochea ugaidi izrael na duniani nimeamini kila operation anayoifanya amefanya tafiti na halengi sehemu ambayo hana uhakika nayo, hivyo wale waliotengeneza kambi za jeshi na vituo vya kurushia makombora kwenye hospitali na shule alikuwa sahihi kabisa
 
Rwanda is overrated! Nakwambia kambi ya monduli kama ingekuwa karibu na Rwanda ingetosha kabisa kuikamata Rwanda yote ndani ya siku 3.
Dont underestimate rwanda kiasi hiko. Those guys wamekuwa wakipigana since regulary, kwa yoyote aliepita kwenye majeshi au kutumikia taasis za ulinzi na usalama, know this usimdharau adui ambae humfahamu kiundani
 
Tafuta level yako! Unajionaga unatumia codes kwenye mada zako za kitoto ambazo hata mtoto wa kindergaten anaelewa!
Huna kitu kichwani...
Ubongo uliobemendwa, uliosindikwa na uliojaa Makamasi tupu kamwe hauwezi kunipotezea Mimi muda hapa JF Ok?
 
Dont underestimate rwanda kiasi hiko. Those guys wamekuwa wakipigana since regulary, kwa yoyote aliepita kwenye majeshi au kutumikia taasis za ulinzi na usalama, know this usimdharau adui ambae humfahamu kiundani
Kwa hii Elimu yako Kubwa unategemea kabisa that certified Moron akuelewe Mkuu?
 
Back
Top Bottom