Watanzania sasa waanza kutesa wafungwa. Abugharib ya africa inanukia.
Comoran and Tanzanian African Union soldiers in Mutsamudu beat a man suspected of collaborating with Mohamed Bacar, the renegade Anjouan leader
Watanzania sasa waanza kutesa wafungwa. Abugharib ya africa inanukia.
Comoran and Tanzanian African Union soldiers in Mutsamudu beat a man suspected of collaborating with Mohamed Bacar, the renegade Anjouan leader
even if AU imeamua kwenda katika mission why, Tanzania?. tumepigana uganda right?, tumepigana msumbiji, tumehost majeshi ya south africa,tulienda ushelisheli, tunasema tumechangia kuzikomboa nchi hizo, sasa hivi tupo lebanon,given matatizo yetu ya kiuchumi tuliyonayo hivi sasa why tuwe msitari wa mbele?
kwa nini tusitumie ushawishi tulio nao kuwashawishi wengine wafanye hii mission?
kumbe wengine argument zenu zinabase katika PRIDE.kweli jamii ikikosa success za kujivunia itazilazimisha ili na yenyewe ionekane wamo. Tumeacha kusaidia watoto wetu UKRAINE wasome ili waje wasidie nchi yetu,leo tunakwenda kupigania democracy ya wenzetu kwa damu zetu. are you kidding me?Kamanda, jibu unalo mwenyewe .... Tz imechaguliwa kutokana na uzoefu wake katika vita...
Jamaa hawana hata communication radios sasa tunaweza kuconclude kuwa SERIKALI YA TANZANIA INGHARAMI hii OPERATION..na hii inaleta yale maswali ambayo ni uncomfortable niliyouliza hapo awali:
Kwa nini Wizara ya Ulinzi chini ya na waziri wao wamekuwa kimya?
Kwa nini Foreign chini ya Membe ndio wamekuwa wakitupa progress yah ii vita ?
Kwa nini Ikulu chini ya Salva hawatoi statements kwenye website yao kutueleza tutanifaika vipi kama taifa kupeleka wale wanajeshi kule?
Hii vita inatucost kiasi gani perday?
Je wanajeshi wetu wangapi wamejeruhiwa?
Wangapi washakufa?
Kwa nini wanajeshi wetu hawana BODY ARMOURS?
Ni akina nani walihusika kumshawishi JK sisi kuingia kwenye hii vita?
Hii operation ili pitishwa kwa azimio lipi la AU?
Lini?
akina nani walivote kule AU?
Nani ali abstain?
kwa nini?
Kama African Union hawawezi kupeleka Helicopter kule Darfur what makes you think pesa wanazo za hii operesheni ya Comoro?
Kama AU haina pesa za mkutano wa Pan African Parliament hizo pesa za uvamizi wa Comoro zimetoka wapi?
Kwa nini serikali haitaki kutuambia kuwa imetoa kiasi gani kwenye hii operation?
INTERVENTION:
Intervention hazikatazwi mfano Tanzania ilivamia Uganda uner pretext ya self defence na the same applies to Vietnam kuvamia Cambodia ...hii concepty inatumika zaidi kwenye UN charter 51
Je, Tanzanias invasion in Comoro inaangukia kwenye criteria gani ambayo ita concstitutte legitimate intervention?
kwenye internationa law wanasema kuwa ziko 4:
1) just cause (a "supreme humanitarian emergency")
2) last resort
3) proportional use of force
4) probability of achieving a humanitarian outcome
BERNARD MEMBE ambaye anajiposition kama hawk au tuseme Donal Rumsfield wetu hakuweka wazi haya.
Ina wezekana ikawa mheshimiwa waziri alipitiwa lakini ukiangalia jamaa wa International Commission on Intervention and State Sovereignty or the ICISS wao wali suggest six principles for the "responsibility to protect": nazo ni:
1)right cause
2)right intention
3)right authority
4) last resort
5)proportionate means
6)reasonable prospects
sasa maswali :
je, COMORO ina fit that bill?
Je uvamizi wa Comoro na majeshi yetu ni JUST CAUSE?
kama zote zimetick then lets move on kwenye argument ya pili nayo ni:
Je Majaeshi yetu yatakaa kule for how long?
Strategic planners wetu wanajua kuwa its EASY TO WIN THE WAR BUT DIFFICULT TO KEEP THE PEACE?
Bwana Abdul Bacar Soihir anapendwa kisiwani kwake na tuseme baada ya kuondoa..lets say majeshi yetu yakimuua mnategemea kuwa wananchi kwenye kie kisiwa wataendelea kuwapa wanajeshi wetu haluwa mtaani?
UHUSIANO WETU NA FRANCE:
Katika nchi ambaya wananchi wanawachukia wafaransa duniani basi COMORO ni number 1
Serikali ya ufaransa knowingly walikuwa wakimuachia yule DOG OF WAR bwana BOB DENARD kuwaua na kuwabadilishia watawala Comoro sasa raia wa Comoro leo atakisikiaje akisikia kuwa Tanzania na France lao moja kwenye hili?
Situation tuliyonayo itakuja kuwa kama ya majeshi ya India kule Srinagar na Jammu Kashmir ambako majeshi ya India ambayo ni waHINDU wamewakalia kimabavu raia wa Kashmir ambao wengi wao ni WAISLAM sasa hii ndio hali itakavyokuwa sasa hivi tunasherekea lakini kutokana na Sensitivity ya wa Comoro na FRANCE I am sure kuwa sisi tutaonekana kama occupying force kwenye kisiwa kile.
FANATIC MUSLIMS:
Japo wanasema kuwa rais wa sasa wa Comoro ni moderate Muslim lakini mwenyewe anajulikana kuwa anapata directives toka Iran na anajulikana kama ni hard liner. Sasa hamuoni kuwa hii iko in contrast na malengo yetu ya war against Muslim Fanaticism?
Majeshi yetu wengi wao ni Wakristo sasa mnasemaje kama in the future kumetokea fall out na makundi ya waislam wenye siasa kali watakapo amua kubadilisha mwelekeo wa uvamizi wetu kama Ai Deed alivyofanya kula Somalia?
Its very simple kuignite haya mambo hivyo lets not rule that out.
UNITED NATIONS:
Je hamshangai kuwa UN haitajwi kabisa kwenye hili jambo? Membe hakuwaambia ukweli na ukweli ni kuwa forcible intervention kama ya Anjouan must be legally authorised by a resolution of the United Nations Security Council (UNSC) tena in accordance with the consent of nine of the fifteen members
Mfano UNSC katika miaka ya karibuni wame authorize military intervention :
1) restore democracy in Haiti, (UNSC 1994,res/940)
2) end the repression of Kurds in northern Iraq,(UNSC,1991 res/688)
3) curb famine in Somalia,(UNSC,1992 res/794)
4) stop ethnic cleansing in Bosnia,(UNSC,1992 res/770)
5) limit genocide in Rwanda.(UNSC,1994 res/929)
Na kwa kila case ya hizi resolutions, the Council cited a threat to international peace as the principal legal justification for intervention. Sasa hebu niambieni Anjouan wamethreat Peace ya Tanzania kwa namna gani?
Wote tunajua kwa nini UNSCOM II ilifeli kule Somalia na sioni kwa nini hii military occupation ya kisiwa cha Anjouan isifeli kama kutakuwa na watu smart wa kutrigger opinion za wananchi wa Anjouan
Anyway sini sababu ya kutowahusisha jamaa wa UNITAF in the first place.
Kuna watu walisema kuwa wanjeshi wetu wnahitaji mazoezi..well wanaweza kufanya hivyo kwa kutuhudumia sisi wananchi badala ya kupoteza ma bilioni kule Comoro
Huu ni mwanzo tuu na mengine yatafuata baadae
Labda ASSAH MWAMBENE angeweka wazi kwa nini Foreign wamekuwa ma hawkish kiasi hiki na kwanini waziri wa ulinzi au wizara ya ulinzi hawaruhusiwi kusema kitu
Hiyo siyo priority kwetu
Mind you JK will be on the record tangu Nyerere as the President to took us to a useless war
Kaka nawe unaboaaaaaaaaa,
Ugomvi wako na Membe/JK unakufanya kuwa learned mediocre....
Kama una shida na uwezo wao wa uongozi si urudi nyumbani ujenge Tanzania uipendayo........
U know nothing about Comoro/Nzuani politics....
U can do better in analysing "masters (US)" politics lakini sio za nyumbani...na zaidi sio za mahusiano na interests zetu na Comoro..
Tafuta wajuvi wakuelimishe kwanza kabla ya kuanza kuripuka kama Chacha Wangwe....
Tanzanianjema
U cant be serious.....
Hivi unajua majeshi yetu yamekuwa yakipigana katika nchi ngapi afrika. Unajua kuwa hii sio mara ya kwanza sisi kwenda Comoro na angalau sasa tunaenda kutekeleza majukumu yetu kwa AU.....
Ama tatizo ni kuwa hii inafanyika chini ya membe ambaye unaamini kuwa hapaswi kuwa waziri wa mambo ya nje na kikwete kama rais wa Tanzania. Kama ni hilo nakushauri ufunge virago huko uliko urudi nyumbani kusaidia kujenga Tanzania mbadala wa hii tuliyonayo sasa na sio kulalama tu kwa kila litendwalo.
By the way unajua role ya JK katika kuleta makubaliano huko Comoro wakati Nzuani na Moheli walipotaka kujitoa katika muungano wa comoro na kupeleka kuwa na mfumo wa shirikisho ambao JK ndio alidraft na kupush makubaliano hayo....
Kaka kuna mengi huyajui ingawa unataka kutonyesha kuwa wewe ni gwiji wa masuala ya kimataifa. Uliza upewe darasa kabla ya kuanza kubwatuka kama Chacha Wangwe. U can do better than that....
tanzanianjema
Tafuta wajuvi wakuelimishe kwanza kabla ya kuanza kuripuka kama Chacha Wangwe....
Tanzanianjema
Shida yote hii wa kulaumiwa ni huyu hapa chini misifa ambayo haina mkia wala kichwa.
....haya, uchaguzi Zimbabwe ni jumamosi. natakuona AU na hao SAUZI watafanya nini kama jamaa aki-rig!!
....footage za BBC toka Comoro zinaonyesha kama siku za mwanzo Coalition forces zilipotinga Baghdad, je hii itaendelea au ndio mgeni siku ya kwanza??? kama kwenye movie ndaan'daaa....huyo Bacar alivaa baibui au ushingi wa kanga iloandikwa "usiyoyajua yatakusumbua."!!??
SO FAR MPIGANAJI MMOJA WA TANZANIA AMEFARIKI DUNIA .NDIO ASKALI WA KWANZA KUFA WA TANZANIA TOKA WAMEENDA ANJUAN,SABABU YA KIFO NI AJALI YA KUTELEZA WAKATI ANAINGIA KTK MELI NA KUDUMBUKIA MAJINI.Vita ya Iraq ilikuwa interesting wakati marines wanaingia Iraq maana nao walikwenda faster faster na ile sandstorm walikuwa wanapuyanga tu, kibao kikageuka walivyofika Najaf na Nasiriyah.
Anyways latest news ni kuwa Bacar inasemekana bado yuko Anjouan possibly kajichimbia kwao(Bakarani), serikali inataka kuweka utawala wa muda by the end of this week, Good/Bad news kwa our troops wataendelea kukaa Anjouan mpaka uchaguzi utakapofanyika(miezi 2-3 kutoka leo).
SO FAR MPIGANAJI MMOJA WA TANZANIA AMEFARIKI DUNIA .NDIO ASKALI WA KWANZA KUFA WA TANZANIA TOKA WAMEENDA ANJUAN,SABABU YA KIFO NI AJALI YA KUTELEZA WAKATI ANAINGIA KTK MELI NA KUDUMBUKIA MAJINI.
Bw. Ahmed Ali Amir toka lini umekuwa msemaji wa Zenj?African-backed Comoros forces take rebel island
Ahmed Ali Amir , Reuters
Published: Tuesday, March 25, 2008
Spearheading the AU mission are Tanzania and Sudan, which themselves face calls for independence from semi-autonomous Zanzibar and southern Sudan respectively.
Kwa nini Wizara ya Ulinzi chini ya na waziri wao wamekuwa kimya?
Kwa nini Foreign chini ya Membe ndio wamekuwa wakitupa progress yah ii vita ?
Kwa nini Ikulu chini ya Salva hawatoi statements kwenye website yao kutueleza tutanifaika vipi kama taifa kupeleka wale wanajeshi kule?
Hii vita inatucost kiasi gani perday?
Je wanajeshi wetu wangapi wamejeruhiwa?
Wangapi washakufa?
Kwa nini wanajeshi wetu hawana BODY ARMOURS?
Ni akina nani walihusika kumshawishi JK sisi kuingia kwenye hii vita?
Hii operation ili pitishwa kwa azimio lipi la AU?
Lini?
akina nani walivote kule AU?
Nani ali abstain?
kwa nini?
Kama African Union hawawezi kupeleka Helicopter kule Darfur what makes you think pesa wanazo za hii operesheni ya Comoro?
Kama AU haina pesa za mkutano wa Pan African Parliament hizo pesa za uvamizi wa Comoro zimetoka wapi?
Kwa nini serikali haitaki kutuambia kuwa imetoa kiasi gani kwenye hii operation?