Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Maji hayana chumvi?MBAGALA SIJAWAHI ONA SHIDA YA MAJI KUNA VISIMA VYA WATU BINAFSI WANASAMBAZA MAJI MAZURI TUπππ
KUNA MAJI CHUMVI NA MAJI BARIDI UNACHAGUA WEWE WAKULETEE MAJI GANI.WENGINE WANAVUTA YOTE KWA PAMOJAMaji hayana chumvi?
π€£Kwa hiyo mama anadaiwa?
Yani hata maji kashindwa
Sasa hizi sifa za kusema serikali ya mama imetatua tatizo la maji, ina maana ni za uongo?Habari.
Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa.
Cha ajabu ukipiga simu huduma Kwa wateja Dawasa hakuna jibu unalopewa au hawapokei simu kabisaa. Magufuli japo alikuwa ni mkandamizaji wa demokrasia lakini alikuwa ni Mzalendo aliejitahidi kuhahakisha huduma za Jamii zinapatikana miradi ya maji aliiacha ikiwa Iko sawa kabisa Cha ajabu amekufa na miradi yake yote mizuri inakufa tunarudia Dar ya mwaka 1980.
Kwanini viongozi mlioko madarakani msijiuzulu tu Kwa maana mmeshindwa na hamuwezi zaidi ya kujipalilia kubaki madarani Kwa mabavu bila misingi ya kidemokrasia.
Mara nyingi tumesikia taarifa za kiinteligensia Kwa mambo ya UONGO ya kukandamiza wazalendo wa nchi hii lakini Sasa watu wanakunywa maji yasiyo salama mwezi mmoja na hakuna taarifa zozote za kiinteligensia Wala kiongozi yeyote alieongelea hili swala watu wanajali matumbo yao TU.
Kodi unazolipa ni kwamba upate huduma za kijanii ikiwemo maji safi hapo Mbagala mtakuwa mnakunywa maji yaliochanganyikana na vinyesi Kwa maana hapo nyumba zimebanana na hakuna mwenye uwezo wa kuchimba maji hata MITA 40 kwenda chiniMBAGALA SIJAWAHI ONA SHIDA YA MAJI KUNA VISIMA VYA WATU BINAFSI WANASAMBAZA MAJI MAZURI TUπππ
Trillion 20 imetumika SRG treni ya kisiasa ya umeme. Lakini huduma za msingi kama maji na umeme hatuna.Ni huduma au kitu gani Dar sio kero? Umeme, Maji, Usafiri, Makazi, Mazingira, ?
Habari.
Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa.
Cha ajabu ukipiga simu huduma Kwa wateja Dawasa hakuna jibu unalopewa au hawapokei simu kabisaa. Magufuli japo alikuwa ni mkandamizaji wa demokrasia lakini alikuwa ni Mzalendo aliejitahidi kuhahakisha huduma za Jamii zinapatikana miradi ya maji aliiacha ikiwa Iko sawa kabisa Cha ajabu amekufa na miradi yake yote mizuri inakufa tunarudia Dar ya mwaka 1980.
Kwanini viongozi mlioko madarakani msijiuzulu tu Kwa maana mmeshindwa na hamuwezi zaidi ya kujipalilia kubaki madarani Kwa mabavu bila misingi ya kidemokrasia.
Mara nyingi tumesikia taarifa za kiinteligensia Kwa mambo ya UONGO ya kukandamiza wazalendo wa nchi hii lakini Sasa watu wanakunywa maji yasiyo salama mwezi mmoja na hakuna taarifa zozote za kiinteligensia Wala kiongozi yeyote alieongelea hili swala watu wanajali matumbo yao TU.
Huoni shida wakati hii ni shida .MBAGALA SIJAWAHI ONA SHIDA YA MAJI KUNA VISIMA VYA WATU BINAFSI WANASAMBAZA MAJI MAZURI TUπππ
Ni upuuzi wa kupindukia mkuuTrillion 20 imetumika SRG treni ya kisiasa ya umeme. Lakini huduma za msingi kama maji na umeme hatuna.
Na huu ndo ukweli yaani watakuwa wanakunywa mavi bila wao kujuaKodi unazolipa ni kwamba upate huduma za kijanii ikiwemo maji safi hapo Mbagala mtakuwa mnakunywa maji yaliochanganyikana na vinyesi Kwa maana hapo nyumba zimebanana na hakuna mwenye uwezo wa kuchimba maji hata MITA 40 kwenda chini