KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sasa hiyo uliyoitaja si ndo Daslamu ya mwanzoni mwanzoni na inakosa maji! Miak 61 sasa ya kujitawala, Ilala tu haina maji...

Sasa wale wa Mpiji Magoe, Mloganzila, Chamazi, Kimbiji, etc wasubirie mpaka 2086?
Na hapo mvua nyingi zimetoka kunyesha mda sio mrefu ila uongozi ni changamoto sana
 
Nunueni maji na maisha yaendelee
Magari binafsi kibao yanapitisha maji ya kuuza mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…