KERO Maji eneo la Nyahigi wilayani Nyamagana yanatoka mara moja kwa wiki

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nazidi kuomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti hii ni zaidi ya mara ya tatu naandika hapa.

Kutoka Nyahigi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza tunateseka maji yanatoka kwa week mara moja ambayo ni Alhamisi pekee.

Cha ajabu zaidi tangia yametoka Alhamisi iliyoisha hadi leo ijumaa bado hayajatoka tena ni wapi tupate msaada jamani.

Tusaidieni kupaza sauti na sisi pia ni binadamu na maji ni uhai.
 
Ngoja Mwauwasa waje.
 
Back
Top Bottom