Maji hayatoki Masaki karibia wiki na DAWASA wamekata bila taarifa yoyote

Maji hayatoki Masaki karibia wiki na DAWASA wamekata bila taarifa yoyote

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
DAWASA mna shida gani maji hayatoki maeneo mengi ya Dar es Salaam na mmekaa kimya tu hamsemi shida ni nini wala hamjatupa angalizo kuwa mnakata maji

Ni takribani wiki sasa maji hayatoki maeneo ya Masaki bila taarifa yoyote. Tunaomba mseme shida ni nini

Sio Masaki tu sehemu nyingi kama vile maeneo ya Mtongani pia hakuna maji kwa wiki moja sasa.

Sio sawa kukata maji bila kuwapa watu taarifa ili wajiandae. Natumaini mtashughulikia swala hili kwani tunateseka kununua maji ya visima kwa gharama
 
Back
Top Bottom