Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Amelalamika kwa niaba tu huyo anaishi mtongani na Masaki ni kwa boss #tshabalalaKwa mara ya kwanza watu wamasaki kulalamikia maji
Masaki
Sisi wamanzese tunapeta tu,mlionashida karibuni kwetu.Kwa mara ya kwanza watu wamasaki kulalamikia maji
Mnafiki wewe! kutusanifu wakazi wa popobawa.binti kiziwi kumbe hili tatizo sio la wakazi wa "popobawa" tu..,nimetoka moshi sijaoga siku ya tatu leo maji hakuna.,na kwangu sina majaba