Sad enough walitoa tangazo juzi kuwa maji yatakatika kwa saa 24, jumamosi hadi jumapili. Ajabu hadi leo hakuna taarifa yoyote.
Na maji yalikatwa siku nyingi kabla hata ya hilo tangazo. Niliwasiliana na Meneja huduma kwa wateja akasema atanirudia ila hakunitafuta tena.
View attachment 3339241
Waende baharini au wawatume wawakilishi wao kutoka CHAUMA wakaseme kwa mama.Mvua hainyeshi
Sad enough walitoa tangazo juzi kuwa maji yatakatika kwa saa 24, jumamosi hadi jumapili. Ajabu hadi leo hakuna taarifa yoyote.Habari wakuu,
Kumekua na changamoto ya maji takribanI week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa bedui, maji yamekua hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
Goba nzima hakuna maji Dawasa ukiwapigia hawana majibu, mara ooh tutakupigia huku wananchi tunatesekaKumekua na changamoto ya maji takribanI week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa bedui, maji yamekua hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
Ni huduma gani ambayo kwa sasa unaona inaenda smooth bila kusuasua? Kipaumbele ni kulinda madaraka hayo mengine ni ziada.Habari wakuu,
Kumekua na changamoto ya maji takribanI week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa bedui, maji yamekua hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
Tulieni Mama Anaupiga mwingi.Habari wakuu,
Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
Inahuzunisha sanaSad enough walitoa tangazo juzi kuwa maji yatakatika kwa saa 24, jumamosi hadi jumapili. Ajabu leo ni jumatatu hakuna taarifa yoyote.
Na maji yalikatwa siku nyingi kabla hata ya hilo tangazo
View attachment 3339241
Alisema yule queen flani mkamchamba kama goba hawez kuishi mmejionea wenyew mm hata unioe plot buuuureee nakitoa sadaka kwa ishu kama hzoPoleni sana
Hata goba uwanjani/shule hatuna maji siku ya 5 leoHabari wakuu,
Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
Sa100 mi5 tena!Wakuu kuna mtu ana updates zozote maji yatatoka lini?