Maji katika bwawa la Nyerere kuanza kujazwa 15/11/2021 na 13/04/2022 litakuwa limejaa tayari kwa majaribio

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
kalemani.jpg

Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.

Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme yatafanyika.

CHanzo: ITV habari

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
Kwa huo muda wa kujaza maana yake wanataka sahemu ya mbele ya mto wasikose maji wakati wa ujazaji au vipi?
 
Wamefanya predictions kwamba kutakuwa na mvua za mafuriko mfululizo....huu nauchukulia kama utabiri wa hali ya hewa.
 
Waziri wa nishati mh Medadu amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.

Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme yatafanyika.

Source: ITV habari
Tukitaka kufanya study visit utaratibu ukoje kwa raia
 
We mburula kaa kimya
Waziri wa nishati mh Medadu amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.

Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme yatafanyika.

Source: ITV habari
 
Mbona kwenye documents nyingi zinaoesha mradi ndio kwanza upo Kati ya 34-52%. SGR tuliambiwa kabla ya 2020,baadae tunaambiwa kabla ya Pasaka, baada tunaambiwa kabla ya uchaguzi, baadae tukaambiwa April 2021 Sasa tunaambiwa September.

Hii miradi mikubwa isipoangaliwa kwa karibu italeta maumivu makubwa Sana maana jutokamilika kulingana na mpango kazi uliopo unakwamisha mipango mingine
 
Waziri wa nishati mh Medadu amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.

Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme yatafanyika.

Source: ITV habari
Moja ya mradi wa kumpima SSH uwezo wake kiutendaji kama tarehe uliyoisema itatimia bila kupitia.
 
Waziri wa nishati mh Medadu amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.

Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme yatafanyika.

CHanzo: ITV habari
Sasa hivi wanasemaje? Hizi mvua kubwa zinazoendelea zisitupite hivi hivi, lasivyo itabidi tusubiri hadi mwakani.
 
Hili bwawa naona limeachwa lijifie.. sasa akili yote kwenye LNG ya $30milion wajanja wajipatie zao
 
Ha ha ha .mbona limeshazikwa na sasahivi hakuna anayelipa umuhimu,ha ha ha ,tuliowapa madaraka ni ma jasus wa wazungu,hakuna bwawa tena!!sasahivi tunaongelea katakata ya umeme,na maboresho .ha ha ha ,pop.60mil + ,95% ni zero medula oblangata!!
 
Back
Top Bottom