Maji katika bwawa la Nyerere kuanza kujazwa 15/11/2021 na 13/04/2022 litakuwa limejaa tayari kwa majaribio

Sasa hivi wanasemaje? Hizi mvua kubwa zinazoendelea zisitupite hivi hivi, lasivyo itabidi tusubiri hadi mwakani.
Januari ndiye mhujumu namba moja, shamba sana huyu jamaa.
Sasa itabidi kusbiri mvua za mwakani.
 
Halizungumzwi sana!
Kwani wabunge wetu wameshindwa kuisimamia serikali kwenye suala hili muhimu kwa kutoa azimio kwa niaba yetu? Jee tumuombe Dr Musukuma kwenye kikao hiki cha bunge akatoe hoja ya ku move motion ya suala hili muhimu kuepusha uchumi wa nchi yetu kuondolewa kwenye orodha ya middle income country? Hii itawathibitisha watanzania kuwa ile PhD aliyoipata haikuwa ya mchongo. Na hii itatuonesha nguvu ya speaker wetu mpya ya bunge kuikosoa na kuisimamia serikali kama ilivyo kwa mjibu wa katiba kama alivyojaribu mtangulizi wake kwa cost kubwa kwake.
 
Mv
Mvua isiponyesha watajaza Mani ya kutoka wapi?
So umeme wa maji ulishapitwa na wakati.
 
Hatuna Wabunge Bali tuna Wajumbe wa vikao vya CCM.
 
Wacha weee !!
 
Wamefanya predictions kwamba kutakuwa na mvua za mafuriko mfululizo....huu nauchukulia kama utabiri wa hali ya hewa.
Sahihi sana Nyumisi
Mradi wa ovyo sana huu.
Madhara yake ni makubwa sana kwa downstream inhabitants and ecosystems.
Kama utafanikiwa kuzalisha umeme basi performance itakuwa at or below 33%.
 
mvua usiponyesha ntakula wapi utalimia gesi,mvua zipo
Mvua zipo but kuna climate change (mabadiliko ya tabianchi).
Mojawapo ya athari za climate change ni mvua zisizotabirika ndani ya msimu. Zinaweza kunyesha mvua nyingi sana za ghafla au chache au hakuna kabisa.
Ukanda wenye hilo bwawa tayari unapitia athari tajwa hapo juu.
 
Mnaonaje humo ndani ya hilo bwawa tukajaza gesi ili tutengeneze umeme mwingi wa kisasa🐒
 
Pandianeni tu .....bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…