A
Anonymous
Guest
Kila mvua kubwa inaponyesha kumekuwa na changamoto ya kufurika kwa vyoo lakini pia chemba kuzbuka na kumwaga maji machafu sokoni. Hii inatokana na chemba kuelekezwa mto mirongo.
Hivyo mto ikiwa na maji mengi basi ndani ya soko pia ni shida.
Tunaomba kusaidiwa kwani viongozi wa soko wanajua na Halmashauri ya Nyamagana wanajua hilo lakini halifanyiwi kazi.