Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Maji maji FC ya songea, Ilikua tawi la simba, ila Toto Africans ya mwanza ndio ilikua tawi la Yanga.Ilishuka daraja. Hiyo ilikuwa tawi la yanga.
Mkuu unanichanganya ujue,we mwanamke Gani unaeyajua mambo ya mpira kwa kina namna hii!!!?Maji maji FC ya songea, Ilikua tawi la simba, ila Toto Africans ya mwanza ndio ilikua tawi la Yanga.
Mpira nimeucheza mkuu, achilia kuyajua mambo yake.Mkuu unanichanganya ujue,we mwanamke Gani unaeyajua mambo ya mpira kwa kina namna hii!!!?
Umenishinda bibie. Nimekupenda bureπMaji maji FC ya songea, Ilikua tawi la simba, ila Toto Africans ya mwanza ndio ilikua tawi la Yanga.
Kuhusu tawi utakua umechanganya sema Simba ndio ilikua inanunua sana Wachezaji kutoka Maji maji Peter Tino nadhani na Madaraka Selemani alitoka huko enzi za kina Selestine Sikinde Mbunga walikua na beki mstaarabu kitasa afanyi rafu na mwingine Mrope kulia..Maji maji FC ya songea, Ilikua tawi la simba, ila Toto Africans ya mwanza ndio ilikua tawi la Yanga.
Mwanamke anamzungumzia Daudi kufa kunoga ya Lipuli ya Iringa hapo unatakiwa ujiongeze aisee..Mkuu unanichanganya ujue,we mwanamke Gani unaeyajua mambo ya mpira kwa kina namna hii!!!?
Hapo sawa,waliogopa mpira una mengi sanaMpira nimeucheza mkuu, achilia kuyajua mambo yake.
Ni vile wazazi walinikataza, naamini leo hii ningekua nasakata kabumbu vilivyo haswaaa
Humu jf Kuna watu wanachanganya sana.Ninachojua mimi,mwanamke mpenzi wa mpira anachojua yeye ni matokeo TU ya uwanjani,na mambo TU madogomadogo.Mwanamke anamzungumzia Daudi kufa kunoga ya Lipuli ya Iringa hapo unatakiwa ujiongeze aisee..
Aisee, enzi zile za Majimaji ya kina Samli Ayubu(beki mstaarabu), kina Peter Mhina, kiungo mtulivu Octavian Mrope winga wenye miguu myepesi yenye kuchanganya Selestin "Sikinde" Mbunga, Madaraka Selemani, Innocent Haule, Peter Tino na wengine.Kuhusu tawi utakua umechanganya sema Simba ndio ilikua inanunua sana Wachezaji kutoka Maji maji Peter Tino nadhani na Madaraka Selemani alitoka huko enzi za kina Selestine Sikinde Mbunga walikua na beki mstaarabu kitasa afanyi rafu na mwingine Mrope kulia..
Hicho kikosi cha mbele cha Maji maji ndio kilikua kikosi cha Timu ya Taifa nakumbuka huyo Inocent Haule aliifungia Stars goli moja mechi ilichezwa Zanzibar sikumbuki kama tuliwafunga Ghana au nani..Aisee, enzi zile za Majimaji ya kina Samli Ayubu(beki mstaarabu), kina Peter Mhina, kiungo mtulivu Octavian Mrope winga wenye miguu myepesi yenye kuchanganya Selestin "Sikinde" Mbunga, Madaraka Selemani, Innocent Haule, Peter Tino na wengine.
Mpira ulikua ni burudani sana. Unaingia uwanjani kwenda kumuangalia mchezaji fulani
Ukiwa Lizbon au Luwiko (joking)Mpira nimeucheza mkuu, achilia kuyajua mambo yake.
Ni vile wazazi walinikataza, naamini leo hii ningekua nasakata kabumbu vilivyo haswaaa
Msamala 1 hiyoo. πππUkiwa Lizbon au Luwiko (joking)
Maji Maji ni Tawi la simba, nina uhakika kabisa, uliza uambiwe.Kuhusu tawi utakua umechanganya sema Simba ndio ilikua inanunua sana Wachezaji kutoka Maji maji Peter Tino nadhani na Madaraka Selemani alitoka huko enzi za kina Selestine Sikinde Mbunga walikua na beki mstaarabu kitasa afanyi rafu na mwingine Mrope kulia..
πππ noma sana.Umenishinda bibie. Nimekupenda bureπ