Maji mengi yanatokana na nini kwa mama mjamzito?

Blaque

Senior Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
126
Reaction score
103
Heshima kwenu,
Mama watoto wangu ni mjamzito,huu ni uja uzito wa pili,ameanza kliniki kwa wakati.
Mara ya mwisho kwenda kliniki ameambiwa apime Ultra Sound.
Daktari wa ultra sound amemwambia ana maji mengi saana na ndio maana tumbo limekuwa kubwa na si mtoto mkubwa kama tulivyofikiria .
Nini madhala ya kuwa na maji mengi kwa mama mja mzito.
Na nini tufanye ili mama watoto aweze jifungua salama?
Naomba msaada wenu kwa wenye kujua

Natanguliza shukurani.
 
Huyo daktari ndo mwenye majibu mazuri ungemdadisi zaidi.
 
Yeye ameshauri twende Hospital ya mkoa kwa wataalamu wa uzazi ndio maana nimekuja JF kabla sijaenda kule maana nimepangiwa next week kumpeleka kliniki ya hosp ya mkoa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…