Maji ndani ya jicho yanakauka na nguvu ya kuona inapungua

CHATERISTBOY

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
26
Reaction score
15
Tatizo limeanza 2006 4m4
2008 zilitolewa lenzi na kuwekwa za vioo na kupewa miwani kila baada ya miezi kadhaa naandikiwa namba ya lenzi kubwa kwa maana ya uono hafifu pia maji yamepungu jichoni wadau naona karibu mbali naona kivuli tu
 
Tatizo limeanza 2006 4m4
2008 zilitolewa lenzi na kuwekwa za vioo na kupewa miwani kila baada ya miezi kadhaa naandikiwa namba ya lenzi kubwa kwa maana ya uono hafifu pia maji yamepungu jichoni wadau naona karibu mbali naona kivuli tu

umepima kipimo gani. isije kuwa unapima miwani tu, umepima vipimo vikubwa vikubwa kama glaucoma n.k?
 
Baada ya upasuaji niliwekewa lenzi macho yote baada ya mwaka mmoja nikarudia kufanya upasuaji ktk hospitali nyingine baada ya hapo niliendelea na vipimo vikubwa vya miwani nakushauriwa kutokufanya upasuaji tena tatizo ni hilo la kupungua nguvu ya kuona
 
Kama tatizo ni glaucoma hapo ndipo utaiona serikali ni ya kiovu!!!!!
Maana dawa sahihi ni Bange.
 
tatizo hapa bongo waatalamu wetu wengi ni wafanya biashara wa bidhaa zao za kitabibu, unapoenda hospitali siku hizi unatakiwa uwe makini kwani takwimu inaonyesha bara la africa madaktari wanatoa dawa nyingi kuliko utaratibu unavyotakiwa....nahisi pengine hizo lenzi ulizo wekewa ulikuwa mradi wao ili tuu wakuchomoe fedha. tafuta hospital binafsi au nenda CCBRT huduma zao zipo vizuri wanaweza wakakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…