Hiki ndicho aina ya kilimo ambacho kitakomboa hii taifa letu toka janga kuu la umasikini, yaani irragation inafanya ulime anything , anywhere, anytime, mungu ameibariki taifa letu na ardhi poa, maji mengi, miti na maziwa, bona kusiwekeze kwenye kilimo ka kuwagilia maji, hayo mengi kaa ndege baadae, asante sana kwa hii taarifa yako, ungegombea umbunge sehemu yangu kura yangu ungekuwa nae tayari mkuu