Mpagama Senior Member Joined Jan 9, 2011 Posts 127 Reaction score 7 Jan 13, 2011 #1 Tafsiri yake ni nini, Mtoto huyu ni mtukutu au alimuonea huruma m-sure baada ya kuzidiwa na kilaji alichokuwa akipata hapo alipokaa? Attachments funniest-picture.jpg 64.4 KB · Views: 223
Tafsiri yake ni nini, Mtoto huyu ni mtukutu au alimuonea huruma m-sure baada ya kuzidiwa na kilaji alichokuwa akipata hapo alipokaa?
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Jan 13, 2011 #2 Hahah hahha mambo ya kucheza na mdingi safi sna tatizo madingi yetu akili zipo bar au kuchakachua nyumba ndogo lol
Hahah hahha mambo ya kucheza na mdingi safi sna tatizo madingi yetu akili zipo bar au kuchakachua nyumba ndogo lol
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jan 13, 2011 #3 Yaleyale ya mtoto umleavyo
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,178 Reaction score 80 Jan 13, 2011 #4 maria roza said: hahah hahha mambo ya kucheza na mdingi safi sna tatizo madingi yetu akili zipo bar au kuchakachua nyumba ndogo lol Click to expand... una uhakika na unachokinena teacher?
maria roza said: hahah hahha mambo ya kucheza na mdingi safi sna tatizo madingi yetu akili zipo bar au kuchakachua nyumba ndogo lol Click to expand... una uhakika na unachokinena teacher?
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Jan 13, 2011 #5 Hii mitot na dingi yao walewale tu!
T terrero Member Joined Jan 14, 2011 Posts 7 Reaction score 0 Jan 14, 2011 #6 mzzzzee mbona ancheka ?
Ameir Eshaq Member Joined Jan 3, 2011 Posts 35 Reaction score 1 Jan 14, 2011 #7 haha dingi anacheka but fikiria ukimfanyi dingi wa bongo sijui atakukufanya... sipati picha yani