maji ya baridi wakati wa joto na kinyume chake

maji ya baridi wakati wa joto na kinyume chake

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,368
habari wana jukwaa la afya ,,,,nilitaka kujua kwa uthibitisho wa kisayansi na sio mambo ya hewani,,,kama kunywa maji ya baridi wakati wa joto inasaidia kupunguza joto la mwili/inapoza au kunywa vinywaji vya moto wakati wa baridi inasaidia kuongeza joto,,,katika maelezo chukua mfano mmoja kurahisisha mambo,,,,na pia talk of the net effect
 
nafikiri ukinywa ya baridi,mwili unafanya kazi ya kuyachemsha yafikie b temperature,kwa hivyo mwili una burn calories.ya baridi yanakata kiu mapema kuliko ya moto. Hayapunguzi joto,ila kwa upande wa yamoto yanakuwa yako average body temperature,excessive heat ya maji itaufanya mwili kupata joto.
 
Back
Top Bottom