Habari waungwana.
Tofauti na tatizo la kudaiwa hizo B87 mwenzenu nina tatizo la kupata mba kila sehemu yenye nywere kichwani baada ya kuoga maji yenye chumvi Kwa Muda mrefu.
Tafadhali naomba msaada maana ninapokaaa hamna mbadala wa maji ya chumvi.
Sent from IPhone 9 using JamiiForums