Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?

umeonaeeeeeeeeeeee wao hilo hawalijuiUnapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.
Haya mambo mengine ni kujiendekeza tu na kuendekeza mfumo dume katika familia. Mimi nachopenda kukuuliza ni kwamba kwa hizo siku ulizobeba mwenyewe maji UUME wako ulitoweka?Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?
Haya mambo mengine ni kujiendekeza tu na kuendekeza mfumo dume katika familia. Mimi nachopenda kukuuliza ni kwamba kwa hizo siku ulizobeba mwenyewe maji UUME wako ulitoweka?
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?
Duh! Yaani mnatufanya wanawake kama ni watumwa wa ndoa! Hivi kuna kitu chochote ambacho mwanamke anapaswa kuenjoy kwenye ndoa?! Kufua hadi vyupi,kupika kutumikia penzi mara sijui gogo,mara chai,mama mkwe,ndugu, watoto! Mwanamke role yake ni ipi na mwanaume yake ipi?
wanaume bwana. Kwani iliandikwa wapi kuwa lazima uwekewe maji? Acha uvivu. Si ajabu mkeo maji anachota mtaa wa tano. Anahakikisha mapipa 2 ya ndoo 12 yanajaa maji, bado akuwekee bafuni!
Kwani ukijiwekea mwenyewe unapungua nini? Mwisho mtataka kubebwa mgongoni.
Kujibu swali lako hiyo ni hiari. Ila Ni vyema kujibebea mwenyewe haitakudhuru.
Ila zungumza na mkeo. Jua majukumu yake nyumbani kama mwenzio ana kazi nyingi+watoto mpunguzie majukumu kwa kufanya vikazi vidogo vidogo, apate muda wa kupumzika na kufurahia tendo la ndoa!