Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Mungu ibariki pwani na watu wake. Nalog offTatizo lako umeoa bara, ungeoa huku Pwani, ungekogeshwa kabisa, nini kupelekewa maji bafuni.
acha uvivu,jipelekee mwenyewe.au akikuwekea na wewe muonyeshe mapenzi,muwekee.na mkifanya hivyo kwa wote 2 inapendeza zaidi
Sasa kulishwa si ndio mapenzi yenyewe bana?Tusipolishwa sisi alishwe nani tena?Mambo yote kulishwa,kuwekewa maji ya kuoga,kusuguliwa mgongoni then baadae mapumziko ya kumwagiana ubongo wa sungura.Teh!
mapenzi mnayaona kwenye kufanyiwa tu?
Siku mkeo akikwambia uinamishe kitambi chako upige deki nyumba utakubali?
Vyombo utaosha? Nguo utafua? Kama mkiwa na utaratibu wa kusaidia wake zenu mambo kama hayo basi mjue na nyie mtafanyiwa mazuri zaidi ya kupelekewa maji ya kuoga.
Hujambo Dr!? Mie niko poa kabisa. Salaam nyingi sana kwa wagonjwa wako, nawatakia kila la heri wapone haraka.
hahahaha! We hutaki Tiba BAK?
Mi sijambo na wagonjwa nishaanza kuwatibia. Lol.
Kwa sasa niko fit ile mbaya namshukuru sana Mungu, hata mafua sijui mara ya mwisho niliugua miaka mingapi iliyopita kwa hili namshukuru Mungu kila siku iendayo kwake au unazungumzia tiba ipi Dr!? Kama ile ya Babu wa Loliondo ya maji ya uzima!? hahahahahah lol! Kama ndiyo hiyo basi nahitaji ππ maana nasikia pia ni kinga nzuri sana kwa magonjwa mengine. Xmas ndiyo hiyo inakaribia bado kama wiki sita tu ile party ndio aje!? sijasahau ujue ππ
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?
Mungu ibariki pwani na watu wake. Nalog off
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?
mi nina tiba yangu maalum ila bado sijaipa jina wala utaratibu wa kuitoa bado sijapanga hadi wagonjwa muwe wengiwengi.
Aisee ila party usahau! Kumbe unapenda ubwabwa wa sherehe eeh.
Kuna mtu nilidelegate hiyo task kwake ila naona kaingia mitini.
Fanya mambo mzee wa miyoutube.
Hahahahah lol! ubwabwa wa sherehe naupenda sana lakini kwenye sherehe hii nataka kula ule utakaopikwa na Dr ππ....Hebu mshtue huyo mtu banaa tusikose party bure ππ Haya mambo ya Utube hayo ππ ♥♥♥
usijali, utagonga kitu cha pilau ukisindikizwa na ile show ya desh desh (kama hujaelewa sifafanui). Vyote hivyo stelingi Dr mwenyewe. Lol.
Ngoja yule mtu nimpigie.
Hahahahahah lol! show ya desh desh siyo! basi naisubiri kwa hamu kubwa sana na hilo pilau usiwe na wasi wasi nitahakikisha nina appetite kama 3 na nusu hivi πππ usije kushangaa tu nikaomba mpaka ukoko wa pilau hahahahah lol! mpigie huyo mtu maana siku ndiyo zinayoyoma.
appetite zako zikiisha nitakuazima zangu. Lol.
Ila Dr nitaomba siku hiyo unichezee kiduku. Anza mazoezi.
Dah! Mr.Ndyoko,unaongea kiingereza kigumu. Nalog offsalutation for you!
Dah! Dr unataka nivimbiwe halafu unicheke!!!! lol! Haya zoezi la kiduku litaanza rasmi kesho maalum kwa ajili ya siku hiyo ya party kali kupita zote ππ....Naona umerudi kwenye kidude chako haya banaa πππ maana sioni kitu jamvini (modem) ππ