nimerudi aisee. Network zinaniletea uzushi uzushi bana ila usikonde nitafanya mambo tena very soon. ( kuna majitu yanakodolea macho maongezi yetu ujue).
Ngoja nitoke hapa.
Mwambie huyo banaa kama anataka mtu wa kumfanyia kazi si aajiri house girl atambebea maji asubuhi na jioni/usiku.
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.
Kaka hapo mwisho si ataomba mchezo kwa housegirl. Kwa kutembea na housegirl huwa kunaanzaje?
Dah! Watu wamepinda humu ndani balaa.​Mkuu, uwe unarudi home umeoga kabisa!
Husni sikiliza ile kolabo ya FA,NGWEAR na JIDE 'skiza me'
kwenye hiyo bold haija kaa vizuri mtakuja kuletewa vicheche ndani
​Mkuu, uwe unarudi home umeoga kabisa!
kama kupata 'msaidizi' ni hivi kazi ipo! Wasaidizi poleni
husninyo umechangia vizuri lakini mwishon umeharibu suala la unyumba ni haki kwa wanandoa mwenzio akihitaj hampaswi kunyimanaUnapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani? Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.
ukiolewa usiajiri house girl maana lazima jamaa ampitiendio mijanaume ya kiafrica ilivyo inataka hadi viatu ibrashiwe....nyooooo!
Jiwekee shower yako mwenyewe uondokane na kuomba omba.
husninyo umechangia vizuri lakini mwishon umeharibu suala la unyumba ni haki kwa wanandoa mwenzio akihitaj hampaswi kunyimana
ndio mijanaume ya kiafrica ilivyo inataka hadi viatu ibrashiwe....nyooooo!
I think ni fadhila tu, kwani hana mikono huyo mwanaume? Kuoga aoge yeye maji apeleke mwingne! Tena anakuamsha alfajiri,mama naniliuh kaniwekee maji nataka kuoga...2mbavu! Wanaume tumewaendekezaaaa, mpaka favors wanaona ni right yao sasa! Kuna mambo yani ukifikiria sana unaweza usiolewe manake ni full utumwa....! Mungu ampe ujasiri wa kuamka na kujitengea maji ya kuoga atakaefanikiwa kunioa otherwise atakuwa anakoma! Lol!