Maji ya kuoga...!

:shock:*ivi kumbe ni inshu kutomuwekea mume maji bafuni??? kaaaazi kweli kweli, poleni wanawake wenzangu mlogeuzwa watumwa na mabwana zenu, sisi wengine tumepata bahati....
 
Hii ya leo kali,japo sina ndoa ila nimekulia kwa wazazi wenye ndoa,ww utakuwa na matatizo flan hujajielewa kwan w unamhandle vp mkeo?ww huwa unamfurahisha kwa kumfanyia lipi hasa mpaka unadai kuwekewa maji bafun!
Nijuavyo mm mwanamke km unapenda kweli na akakupenda kweli anaweza akaufanyia mambo ambayo hukuwahi kudhania au kuwaza hii inategemea na namna mnavyoishi na heshima mnayopeana km ww dikteta sahau kbs kuonyeshwa mapenzi hao!
Kabla hujalalamika jichunguze mwenyewe unatatizo gani,kauli zako zikoje?inawezekana anachofanya nikulipiza baadhi ya mambo unayomkera kwa kukosa pakuyasemea!
Yoyote kwa yote sijawahi kusikia km ndoan kuna job disicripshen,otherwise kila jambo mnafanyiana kulingana na upendo na heshima iliyopo kati yenu.
 
Reactions: Sal
:shock:*ivi kumbe ni inshu kutomuwekea mume maji bafuni??? kaaaazi kweli kweli, poleni wanawake wenzangu mlogeuzwa watumwa na mabwana zenu, sisi wengine tumepata bahati....

ya kutoolewa? Mkosi huo! Kaoge dawa.
 
huyo ni mkeo bana si kijakazi wako..... let her do it because anaenjoy doing it na si kwa sababu you say so!!!!
 

Kwa mtazamo kama wako ndiyo maana ndoa nyingi zina migogoro!
 

nashindwa kujibu kwani mie bomba lipo bafuni !............................lakini kama kila kitu anakutimizia haya mambo mengine yachukulie powa sio issue kiviile!
 
na hutaolewa kamwe otherwise ubadili msimamo wako. Mwanamke mbabe hana nafasi ktk ndoa. Ni wanyenyekevu tu ndio hupata baraka hiyo!

mwee! Na nsiolewe kuliko kufanywa a small punda! Kwani kabla hajanioa alikuwa anaogaje? Narudia, wanaume must take water bafuni wenyewe! Lol!
 
mwee! Na nsiolewe kuliko kufanywa a small punda! Kwani kabla hajanioa alikuwa anaogaje? Narudia, wanaume must take water bafuni wenyewe! Lol!

sema kwa sauti ndogo wasikusikie, wachumba wako humux2 JF. Wakikusikia ndoa utaisikia mtaa wa 2 tu!
 
...kaka, kwani wewe unamuwekea maji ya kukoga?

wajibu na fadhila ni suala la hiari...kila moja lina shurti na hukumu zake
zinazojitosheleza kwa kadri ya maisha mnavyoyachukulia.

Haaaaswaaaaaaaa!
 


naona umetumia kutoolewa kwa majibu yako yote-defence mechanism....kuna wanaume kibao hawapelekewi maji bafuni for your information,na kama wanaume ndio nyie mnaotaka kupelekewa maji bafuni ndio mmebaki basi na tusiolewe nani anataka ndoa za kitumwa?
 
Majibu ya wanawake wengi ktk hili imenipa picha ya kwanini ndoa zinawashinda. hili ni moja ya jukumu la mwanamke wa kiafrika kwa mmewe . Mnataka wanaumme lakini kazi iko kuiboresha ndoa. Mbona wakati hamjafunga ndoa yote haya mnafanya. Mkisha rekebisha viburi juu.. haya kazi kwenu. Mimi nikijipelekea maji bafuni hapakaliki mpaka niulizwe sababu ya kufanya hivyo.mnahalibiwa na mashoga kwenye hizo saloon.
 
Ndio yatupasa tusaidiane katika majukumu yetu.Lakini wakati mwingine vitu vidogovidogo visilete maneno,mwelimishe aamue kufanya yeye mwenyewe kwa upendo.Kwani kusema ukweli haipendezi baba kuangaika na ndoo ya maji wakati mama yupo tu kapumzika.Ni tendo dogo sana.
 

Jamani Sabri usiseme ivyo,upendo ndio nguzo ya ndoa na kupenda sio kusema i love you,ni matendo madogo.Kwa msimamo huo mwezi mmoja atakukimbia.
 
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.

Mengine yote nimekupatia 100%, ila hilo la mwisho sasa unakaribisha shetani anayeitwa nyumba ndogo kwenye hiyo ndoa.
 
mimi humwekea wife wangu maji, sioni tatizo hasa tunapokuwa hatuna ugeni wowote its kinda romantic and she loves it! tusikariri sana mfumo dume. km nyumba si master hata mie nisingeweka lkn kwa mazingira ya master bedroom si mbaya
 
sema kwa sauti ndogo wasikusikie, wachumba wako humux2 JF. Wakikusikia ndoa utaisikia mtaa wa 2 tu!

na nsiolewe! Kwanza wanaume wa cku hz wanaoa au wanatafuta watu wa kuwapa frustration! Hapa JF ndo kabisaaa...ningekuwa kipofu sioni wadada wanavolia hapa ungentisha! Jamani mume wangu atajiandaa kufua, kupika, aniogeshe, ajiwekee maji ya kuoga ile ya kubeba mimba ndio itakuwa kazi yangu tu! Museven umeckia?!
 
Jamani Sabri usiseme ivyo,upendo ndio nguzo ya ndoa na kupenda sio kusema i love you,ni matendo madogo.Kwa msimamo huo mwezi mmoja atakukimbia.

isiwe lazima mpaka aje kulalamika huku bhana. Akinyimwa unyumba sawa ila maji? Kweli atabeba ngnja nimpate huyo mume atakoma!
 
isiwe lazima mpaka aje kulalamika huku bhana. Akinyimwa unyumba sawa ila maji? Kweli atabeba ngnja nimpate huyo mume atakoma!

Bado hujampata? Haya maneno yako yanakufanya usimpate sabry!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…