Maji ya Lady Jay Dee yamepigwa stop!!

mh au waheshimiwa wa maghorofani walikuwa na mkono kwny hii ishu?
 

Anaitwa Judith Wambura, Lady Jay Dee sio jina lake, labda utoe sababu nyingine.
 
Hehehe unasoma darasa la ngapi?
 
Ukibadilisha brand unatakiwa kufata taratib za usajili upya.. ni kama kubadilisha jina la mtu unatakiwa kuapa maakamani upya. Mbona vtu simpo tu.. Waacheni TFDA wafanye kazi yao.. big up kwao
 
kama magufuli na serikali yake ni wazalendo haswaa ningependa kuona wakimpa support huyu mzawa na maji yake yauzike.. sio kila siku mnawapa wahindi tu kiki. wazawa mnawamaliza na vikwazo kibao.
 
Kiiruuuu! kuanzia leo nitakuwa makini kusoma tarehe ya "siledi", kumbe ni thread ya mwaka 2011!!!!
 
kama magufuli na serikali yake ni wazalendo haswaa ningependa kuona wakimpa support huyu mzawa na maji yake yauzike.. sio kila siku mnawapa wahindi tu kiki. wazawa mnawamaliza na vikwazo kibao. mlaaniwe
Wacha kukurupuka na nyuzi za miaka kibao, pia pitia comments uone kipi kilikwamisha mchakato,sio kila kitu mnalaumu tu, alaa
 
Wacha kukurupuka na nyuzi za miaka kibao, pia pitia comments uone kipi kilikwamisha mchakato,sio kila kitu mnalaumu tu, alaa

Sawa,sitabomoa nyumba Mwanza maana walinipigia kura nyingi
 
Wacha kukurupuka na nyuzi za miaka kibao, pia pitia comments uone kipi kilikwamisha mchakato,sio kila kitu mnalaumu tu, alaa
niliufukua huu usi kwa makusudi.. au unajifanya kuwa unajua sana?
 
Mtu kuweka jina tu ndo useme maji ya lady jaydee na umeambiwa yanatengenezwa Mo
 
Sisi tulipata taarifa ya kuwapo kwa maji hayo tarehe 31 ya mwezi wa kumi na mbili 2010

Hii ni aibu kwa serikali kwamba tangu 2010. Hata kama imekosewa kuandikwa ikawa pia labda ni 2016.. ni muda mrefu sana wao kuja kuongea leo.

Majipu yamejaa bado
 
dish limeyumba wewe jamaa.
usitafute promo ili watu wakujue hapa JF kwa kupitia kwa legend SI.
kwa heri
Tunajulikanaje na ID fake,mbona hujielewi we legendary, au ndio uzwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…